Assalamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuh. Wanawake warefu weupe kwa huku ni nilipo ni adimu sana.
Unaweza kumkuta mrefu ila mweusi, mweupe ila mfupi ama lah ni mweupe na anaonekana mrefu kumbe sio mrefu ni mwembaba tu ila ni mfupi.
Ni mkoa gani (ukiondoa uchagani) wanapatikana viumbe wa hivi bila kutafuta kwa tochi yani wapo kama wamemwagwa vile?
Sipendelei mwanangu awe mfupi aisee, ufupi sio ishu kabisa. Mbaya zaidi uwe mfupi na huna mwili unakua kama katoto kenye ndevu, mfupi na kibonge unakua kama kipipa. Afadhali basi uwe na mwili wa wastani.
Enyi wanawake warefu weupe njooni tuanzishe maisha. Kama upo Dar itapendaza maana nakuja huko soon..