Wanawake wanene mbona changamoto sana?

Mademu wanene wako peace sana. Akikupenda amekupenda. Zingine changamoto zinavumilika.

[emoji16]ata mimi wengi madem rafik zangu hua ni wanene asee wengi wako peace kabisa wanapenda kucheka,kulakula kudeka na utoto mwingi na wengi ni wavivu sema tuu hawana baya kabisa wale watu yani mtakosana saivi badae keshasahau mnaacheka tuu[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…