Haya mambo ya succes kwa wanawake yalianzia kwenye iman gani,atakaenijibu nitampa zawadi nzuri sana!
Moja;hujajibu swali,pili;kama kuna yoyote anafanya jambo bila kufikiria uhalali wa jambo hilo kiimani ana matatizo,tatu;hakuna jambo unaliona linatokea duniani ambalo halina uhusiano au mambo ya dini,wanafanya halafu wanawadanganya kuwa yanatokana na mazingira kumbe wewe unaacha kufikiri kuhusu mambo yanayotokea na mahusiano yake na imani unadhani yametokana na mazingira,unalala wenzako wanamsimika wanaemwabudu kutokana na mambo wanayoyaanzisha kusaidia kukufanya wewe kuwa muumini wa imani hiyo kwa kuwa mfuasi wa mambo wanayoanzisha ukidhani ni matokeo ya maendeleo na mazingira,hata mambo ya weman right na woman succes yameanzishwa kihvyo,kifupi ni ibada hiyo unaishabikia mama!usilete mambo ya imani/udini hapa tafadhali! mambo yote wanadamu wanafanya yanakuwa enfluenced na mazingira, ambayo hupelekea self-esteem ya mtu!
Moja;hujajibu swali,pili;kama kuna yoyote anafanya jambo bila kufikiria uhalali wa jambo hilo kiimani ana matatizo,tatu;hakuna jambo unaliona linatokea duniani ambalo halina uhusiano au mambo ya dini,wanafanya halafu wanawadanganya kuwa yanatokana na mazingira kumbe wewe unaacha kufikiri kuhusu mambo yanayotokea na mahusiano yake na imani unadhani yametokana na mazingira,unalala wenzako wanamsimika wanaemwabudu kutokana na mambo wanayoyaanzisha kusaidia kukufanya wewe kuwa muumini wa imani hiyo kwa kuwa mfuasi wa mambo wanayoanzisha ukidhani ni matokeo ya maendeleo na mazingira,hata mambo ya weman right na woman succes yameanzishwa kihvyo,kifupi ni ibada hiyo unaishabikia mama!
Sijazungumzia ubora wa iman yoyote,nilichosema kuwa mambo yote unayoyaona yanatokana na imani fulani,unachosema kuwa dini ni sehemu ndogo ya maisha unakosea sana,ni mambo yote,mama tatizo tu ni kuwa hujui haya mambo nani aliyaanzisha na ni kwa dhumuni gani,siku ukijua hautayataka tena believe me!ninaamini dini ni sehemu ndogo tu ya mazingira yetu,ikiwemo tamaduni pia. anyways, sipendelei kutupiana mawe ya imani ipi ni bora kuliko nyingine. kwangu mm imani kama inamsaidia mtu kutenda mema,kufurahia maisha na kutokata tamaa, i wldnt burst anybody's bubble.
Getrude Rwakatare ni mwembamba?
Haya mambo ya succes kwa wanawake yalianzia kwenye iman gani,atakaenijibu nitampa zawadi nzuri sana!