AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Nikweli mkuu,kuna dada tuligraduate naye standard seven,daah kazeeka kabisa....nimeamini ningumu kuoa classmate wa wako labda itokee tuWanawake wengi wanawahi kuchoka haraka.
Kuna mmoja ni school mate wangu. Tulikutana kwenye gari nikamuamkia nikidhani ni jimama.
Baadae kumbe yeye alinifahamu, baada ya safari ya kama saa 1 akaniuliza, nikamkumbuka.
Nikamwambia anirudishie shikamoo yangu.
Karibu na mabachelorWale vigoli kucomment wapi?
Bila picha hii ni kawaha na sio chaiInawezekana tunazeeka kweli kuliko nyie kwasababu wanawake wengi tunafanya majukumu yetu na yenu kwa wakati mmoja,.sasa tena kama matunzo yenyewe ya kutafuta kwa tochi,no honey no milk asee lazima tupokee tuu hizo shkamoo kakuna namna...
Ila mm sizeeki jomonii kila siku kama kamdoli vile[emoji4][emoji4]teh teh teh...forever young'
Wapi hukoKaribu na mabachelor
Unataka nikujuze?Hiyo ni kweli bila kubisha
Ila sijawahi kujua sababu ya msingi ya sisi kuwa hivyo
Huku kwetu TarimeWapi huko
Hahahha uwiii tarime akuuuHuku kwetu Tarime
NitashukuruUnataka nikujuze?
Sasa hutaki kuja kwa mzaa chema kigori jamaniHahahha uwiii tarime akuuu
Wewe hautozeeka?? au unadhani na wewe hutoitwa kibabu tena kibabu hovyo a.k.a lifataki.
*WANASEMAGA WANAWAKE HUWA WANAZEEKA HARAKA...HASA AKIWA BADO HAJAOLEWA...!*
Hili nimejionea mwenyewe...
[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]
_KUNA BIDADA MMOJA HIVI KILA NIKIMUONA, SURA IMEKUNJAMANA...MWAKA MMOJA ULIOPITA NILIMUONA NI TOFAUTI NA LEO...YAANI NI JIMAMA ANAELEKEA KUWA JIBIBI...LAKINI YEYE BADO ANAJIONA BINT TENA KIGOLI...!_
*BASI NDO MAANA KUNA MIJIMAMA INAFANYA MAMBO YA KITOTO KUTEMBEA NA VITOTO VIDOGO(Viben10) NIKADHANI NI TAMAA...KUMBE WANAJIONA BADO VIGOLI...!*
```MY FRIEND UMRI UNASONGA HUO...ENDELEA KUFANYA BIRTHDAY PARTY UKADHANI YOU ARE STILL YOUNG...TUTAKUITA BIBI SO SOON...NA HATUOAGI VIZEE SISI...```
*#SinaNamnaYaKurembaManeno*
*#HekimaZaKakaMkuu*
Wewe hautozeeka?? au unadhani na wewe hutoitwa kibabu tena kibabu hovyo a.k.a lifataki.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sababu mimi ni mkali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona umekuwa mkali hivyo.