waungwana, napenda kuuliza ni kwanini baadhi ya wanawake au wasichana wakimsalimia au kumpa mkono mwanaume uchuchumaa kidogo na kunyanyuka? kitendo hiki kina maanisha nini?

waungwana, napenda kuuliza ni kwanini baadhi ya wanawake au wasichana wakimsalimia au kumpa mkono mwanaume uchuchumaa kidogo na kunyanyuka? Kitendo hiki kina maanisha nini?
wanyakyusa ata wakiongea na simu uchuchumaa au kupiga magot kabisa
waungwana, napenda kuuliza ni kwanini baadhi ya wanawake au wasichana wakimsalimia au kumpa mkono mwanaume uchuchumaa kidogo na kunyanyuka? kitendo hiki kina maanisha nini?
Sisi wachaga hatuna hiyo tabia! Lol
Njaa tu hakuna lolote!
Nachukizwa sana tabia za kunyenyekeana kwa kisingizio cha heshima