Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 918
Tulianza kusuka MKAIGA. Tukaja kufuga afro MKAIGA. Tukaja kutoboa maskio MKAIGA. Tukaja kuvaa magauni MKAIGA. Tukala raizon MKAIGA. Tukapiga mibwanga MKAIGA. Tukala suruali za kawaida MKAIGA. Tukaingia shule MKAJA na nyie. Tukasoma migumu migumu na nyie MKASOMA. Jeshini tulikuwa sisi MKAJA. KK security MKAJA. Gerezani MMEJAA. Basi kazi Ngumu kama ukuli MNABEBA. Ok tuyaache hayo yote hata hili la UPIGA debe na kukata TIKETI mmetunyang'anya? Ubungo nzima kina mama. Stand za mikoa kina mama!! Jamanii tumewakosea nini!?