Wanawake wanatofautiana

Kifaa hakina liquid sana pia kinavuta. Sauti nyororo, maneno matamu. Tabasamu la huba. Mwendo wa maringo. Macho makubwa kidogo.
Anajua kutumia manukato.
Sio mfupi sana na sio mrefu kupita futi sita.
Mwenye kujua kusafisha kikombe chake.

Mwanaume una maneno weye cjapata kuona jf nzima .......
 

Unamatatizo, waone wataalamu!!
 
palipo na upendo na penzi la kweli ...... ndipo utamu hupatikana.... no way out.... au haujui kipendacho roho hula nyama mbichi.....
 
Hata kiliwacho kinajua ladha ya mlaji ukatae ukubali kuna mwanaume baridi hana test alf unakuta mzuri ila hana utamu

Ok. Mimi nikiwa nawala huwa wananisifia sana.
 
Unawaza chini tu ndo akiliyo ilipoishia,jifunze kutofautisha 'Radha' na ladha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…