Hiyo dawa yako inaweza kuwa effective kwa wadada wa certain age group, i bet those in adolescence. Wadada wenye maturity hawawezi shughulika na mambo ya kitoto kama hayo. Wanawake werevu wanaangalia wewe ni mwanaume uliyefanikiwa au mwenye nafasi ya kufanikiwa kimaisha (hapa ikiwa na maana uko kwenye harakati za kufanikiwa kimaisha). Hayo mambo ya facebook na picha za walimbwende nakuambia my son, unaweza ukapata mdada akakuwasha kibao. Ila siyo kosa lako, ni uwezo wako wa kufikiri ndiyo umefika mwisho, kuna changamoto ya uzoefu naiona, kimsingi sijui uko kwenye age group gani, lakini unachosema kinanishawishi niamini kwamba wewe bado ni mvulana.