Wanawake wanataka hiki kwa mwanaume

Sometimes YES...........................................
 
B40=Burself. Sijakuamini hata na wala sikupingi. Ila kwa utafiti wangu kwa mbinu hizo utavutia warembo ambao ni matawi lkn vicheche sana huwezi kumkuta mtoto mzuri aliyetulia afu uanze kumwonyesha picha za vimada. Sidhani kama atakuelewa
 
Umekaribia ukweli ingawa inahitaji skills hiyo si kitu cha kwenda straight sna..usige ukawaponza vilaza
 
Huu uzi unaitwa VURUGA VURUGA RELATIONSHIP Mwanamke gani atakuelewa kumhadithia MIGEGEDO ya zamani sana sana atakwita MALAYA .
 
Hii inanjoo wakuu. ..mimi huwa hizi mbinu zinanisaidia sana. ...kiukweli ukiwa na change kidogo afu unajua hizi mbinu. ..hata K-Lyn hayuko salama
 
Reactions: B40
Hii inanjoo wakuu. ..mimi huwa hizi mbinu zinanisaidia sana. ...kiukweli ukiwa na change kidogo afu unajua hizi mbinu. ..hata K-Lyn hayuko salama
Ndio
 
Kwaiyo huyo dada mliachana na umaarufu umeshika
 
Ukiona mwanaume anatumia mbinu hiyo
Huyo sio muoaji, yy ni kupita tu nahisi vibuti na magonjwa ndio anaambulia
Pia wengi wao wanaishi kuoa mwanamke wa kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…