Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,658
Elizabeth Dominic hapo kwenye BOLD naomba ushereheshe kidogo, maana sijakupata sawasawa.......
Yaani kwani huwajui wamama na wadada ambao hutumia any means necessary kwenye harakati zao, ikibidi kutokalia uchumi wao. Sasa mi nimejiuliza juu ya huyu anayetafuta kuwezeshwa ana tofauti na anayesubiria/aliyebweteka?
Hilo la kutumia tupu zao ili kuwezeshwa sio mpango wa Mungu na sio kusudio la mada yangu..............
Sio wanawake wote waliofanikiwa walitumia K zao kujinufaisha, naogopa kubeba laana, nawaheshimu sana wanawake wanaojisitiri utu wao na kuwa wabunifu wa biashara halali ili kujiletea maendeleo kwa ustawi wao na familia zao, wapo wengi sana na wengine wapo humu humu JF, subiri lara 1 atakapowaalika kwenye MMU Exclusive Interview ndio utawajua...................
Huna lolote we mzee! Kazi kumzeesha Mama Ngina wa watu! Maandiko yanasema MWANAMKE NI PAMBO LA NYUMBA!!!!!! Sasa toka lini pambo likaenda shamba, au likaungua na kuchoma miogo!!!!!!!!!!!? Wanawake hao wanaojishughulisha wachache sana wanatoka kimaisha Atleast where i come from ukiona katoka tu ujue kuna mwezeshaji!!!!!!! Mtaani kwetu kutoka ni kupata Zoba lenye hela zake na kugawana nalo umasikini!!!!!!!! Baaaaaaaass! We uchome miogo hadi ununue BMW leoooooooooo!!!!!!!!!!!! Si utakuwa umezeeka? Ukicheza karata zako vizuri You get the man you love, plus he comes with the BMW, and a comfy home!!!!!!! All 3 in 1 shot!(Love, riches, stability) Sasa hivi huvipati kwenye miogo au batiki!!!!!!! WE PREFER THE SHORT CUT, THE CUT FOR THE STRONG AND BRAVE!!!!!!!!!
Uombaomba wa akina mama hasa kwa Tanzania umejikita kwenye ubunge wa kupendelewa maarufu kama ubunge wa chupi. Walioko chini ni kutowezeshwa tu. Nadhani dawa ya kuepukana na hili ni kuubomoa mfumo dume. Hata hivyo mambo yameanza kubadilika. Ushahidi ni kiduchu ni jinsi humu JF vijana wengi wanavyotafuta mijimama ya kuwalea. Zama zetu hili lisingewezekana na kama lingetokea basi wazazi wako wangekuwekea mkwara wa kukukachia laana na ungeachana na shipa hilo. Kwa sasa ni tofauti.
Comm mwanangu unagemea nini toka kwenye viti vya upendeleo? Mbona wanawake wenyewe walishasema kuwa wanaombwa ngono? Nadhani ni wanawake toka mkoa wa Mbeya waliofumua hili. So what do you expect hither? Wanawake ingawa si wote wanajidhalilisha wenyewe kwa kupenda viti vya dezo. Waulize akina Vicky Kamata wamepataje huo uheshimiwa wao usio heshima kitu.
Huna lolote we mzee! Kazi kumzeesha Mama Ngina wa watu! Maandiko yanasema MWANAMKE NI PAMBO LA NYUMBA!!!!!! Sasa toka lini pambo likaenda shamba, au likaungua na kuchoma miogo!!!!!!!!!!!? Wanawake hao wanaojishughulisha wachache sana wanatoka kimaisha Atleast where i come from ukiona katoka tu ujue kuna mwezeshaji!!!!!!! Mtaani kwetu kutoka ni kupata Zoba lenye hela zake na kugawana nalo umasikini!!!!!!!! Baaaaaaaass! We uchome miogo hadi ununue BMW leoooooooooo!!!!!!!!!!!! Si utakuwa umezeeka? Ukicheza karata zako vizuri You get the man you love, plus he comes with the BMW, and a comfy home!!!!!!! All 3 in 1 shot!(Love, riches, stability) Sasa hivi huvipati kwenye miogo au batiki!!!!!!! WE PREFER THE SHORT CUT, THE CUT FOR THE STRONG AND BRAVE!!!!!!!!!
lara1 ukimpata huyo Zoba na sharti lake liwe ni kwenda kinyume na Maumbile na kisha anakupa hivyo unavyotaka utakubali?
Tupo pamoja dada....
Vipi habari ya familia yako, naona kimya hata PM dada.....!LOL