Wanawake wanapiga kuliko wanaume

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,396
Reaction score
9,264
Wasalaam,

Usiombee uwe na ugomvi na mwanamke au mke wako, hizo ngumi zao wanazovyo zikunja na kuanza kuzirusha hovyo hovyo unashangaa tu za uso, mara kachukua mwiko kakutandika ya bega tofauti na sisi tukiwa tunawapiga wao kidogo huwa tunaangalia mahala pa kuwapiga. Na mwanamke anavyokupuga usijirudishie, ukijirudishia ndio unazidi kumpandisha hasira.

Ila ngumi zao zinauma kwakweli.
 
Siku zote mtu ambaye unamwona ni dhaifu jihadhari sana kupigana nae, kuna uwezekano wa asilimia kubwa akakuadhiri mchana kweupeee
 
Siku zote mtu ambaye unamwona ni dhaifu jihadhari sana kupigana nae, kuna uwezekano wa asilimia kubwa akakuadhiri mchana kweupeee

Kumbe umeliona hilo mkuu, chochote atakachokiona atakupiga nacho tofauti na mtu mwenye power.
 
Kwanza mapenzi yakupigana jamani ya nini,kama mmeshindwana tabia sikama mlivyo oana kwa amani muachane kwa amani.
inakuwaje unampiga mwanamke au unapigana nae,mwanamke ni mama yako ,ni dadako,nimwanao ni mama wa watoto wako
yani unaanzaje kumnyanyulia mkono? wanaume wenye tabia hizi badilikeni....
 

Nakubaliana na wewe kabisa wanawake wanapiga balaa ukitaka kuthibitisha muulize yule babu padri muasi anayeongoza SACCOS atakwambia yule mkewe josephina anavyomdunda na kumlazimisha kutumia fedha ya SACCOS kwenda matembezi Nje ya Nchi.
 

Pole kwa yalio kusibu mkuu.
Masamehe tu shemeji
 
Itakua wife wako alisha wahi kukundunda si Bure hadi umejua zinavouma.
 

Bila kuwadunda huwa mna dharau sana hata wewe nitakudunda tu ipo siku.
 

Attachments

  • 1429680556001.jpg
    42.9 KB · Views: 252
maisha yetu ni kudundana chumbani.nikilewanakua mpole maana hunidunda zaid. kupigana kuna raha yake kwa wapenzi.
 
Nakubaliana na wewe kabisa wanawake wanapiga balaa ukitaka kuthibitisha muulize yule babu padri muasi anayeongoza SACCOS atakwambia yule mkewe josephina anavyomdunda na kumlazimisha kutumia fedha ya SACCOS kwenda matembezi Nje ya Nchi.

Hayo ya kwako mimi siyajui.
 
Nakubaliana na wewe kabisa wanawake wanapiga balaa ukitaka kuthibitisha muulize yule babu padri muasi anayeongoza SACCOS atakwambia yule mkewe josephina anavyomdunda na kumlazimisha kutumia fedha ya SACCOS kwenda matembezi Nje ya Nchi.
Mkuu huyo unayemuita padre atakuwa kakuchapia nini? Mbn una lalama sana
 
Ni kweli usemalo mleta mada, lazima tujiami kwa kupiga hovyohovyo tu hata kama kuna sufuria la nyama ya moto niliyotoka kupika naweza kukurushia tu usoni, unakunywa chuzi huku mimi nakumalizia za mgongo zen out nasepa, kurudi hadi hasira zako zipungue. Ugomvi sio mzuri, kwanini upigane na mwanamke na hali unajua ni kiumbe dhaifu, mbona wanaume wanzako mkigombana huko nje hupigani, eti mnamaliza kishkaji, basi na mkeo maliza nae kimapenzi. Lakini loh! mnajidai mwamba mbele ya mwanamke.

Mwanaume anayempiga mwanamke huyo ni dhaifu tu na mjinga, we utaona sifa lakini ni mjinga kabisa.
 
Aisimuliaye mvua..jua imnyea!pole sana mkuu
 
Muwe mnaangalia na size ya mwanamke wa kuoa wewe futi mbili ukachukua mke futi sita acha akupige tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…