Wanawake wanapenda kuvunja ndoa zao......

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari zenu wana JF natumai muwazima wa Afya.

Leo naomba tujadili suala la ndoa kw nini hazidumu katika jamii yetu na chanzo ni nini?

Kwa mnasaba wa kichwa hicho cha habari moja kwa moja natupa shutuma kwa wanawake ndio chanzo cha kuvununja ndoa ingawaje talaka ya kumaliza mkataba huo anatoa mwanamme wanawake kwa 100% wao wanahusika kwa sababu za kidini kisaikolojia na kijinsia kama zifuatazo:-

Mwenyezimungu mtukufu ktk Qur-ani amesema " Nimekuumbieni wake zenu (wanawake) tena wajinsia yenu ili mupate utulivu" kwa aya hio wanawake ndio wenye wajibu na jukumu la kuwapa wanaume utulivu

Wanawake wengi wanashindwa kujua majukumu yao ktk ndoa na kuwazarau waume zao eti tu kwa sababu akitoka anaulizwa hali na wanaume si chini ya 100 wamejisahau kua kulenga si kufuma na kusalimiwa si kupendwa.

Mara nyingi wanawake baada ya kuolewa wanabadilika baada ya kumaliza kipindi cha honey moon wao ndio wanakua jeuri na kiburi na kua wachafu tofauti kabisa na kipindi walichokua wachumba wakiibana vichochoroni uzuri wote unatoweka.

Wanawake wengi baada ya ndoa usafi hupungua anaweza kushinda na gauni siku 3 ww ukiingia na kutoka unamuona habadiliki hata akikoga anakogea kitanda namaanisha anakoga usiku akitaka kulala utauonaje uzuri wake ? Mbadala ya hapo ndio ikaonekana kua wanaume waliowengi wanafadhaika kwa wanawake wa njee waliojiremba kwa kutafuta soko.

Mwanamke hana maandalizi yoyote katika tendo la ndoa na mume wake ukijaribu kusogelea mido zake joto lake kuliko bekari na harufu yake kuliko choo akinadada basi mnashinda hata kujiwekea poda maeneo kama hayo ukijumuisha na kwapa? Huwezi kusema uzamie lulu huko ndio utqtoka na vidonda kama muathirika hakufiki kwa acid na haru mbaya.

Ila dada huyo huyo akienda kwa hawara wake atakoga maji pipa zima manukato ya kila aina na mapoda ya bei hali anatamani kietezo kingepenya kule chini kwa hali hii lazima useme hawara wako anakufikisha kwa kua unajiaandaa kwa ajili yake na sio kwa yule aliekumiliki.

Huu ni wangu uono toa hoja na sio ushabiki
 
This is too personal , don't generalize, si wanawake wote tuko hivyo, ni case by case. Nashauri sana mambo haya zungumza na mwenzio kwa uwazi na upendo, mtafikia muafaka na kufanikiwa katika malengo yenu ya kuishi pamoja
 
Inaweza kua ni kweli ila tunaangalia reshio km 95% wako hivi basi 5% hawawezi kuziba pengo ila labda wazee wawafunze watoto wa kike kabla ya ndoa mambo haya ila kwa kua ndoa ni kitu kinachoshuka thamani kwa wasichana walivyo wakifahamishwa na waumu zao ni wagumu kuelewa kulinganavna uchakavu wa ndoa
 
Si kweli kabisa kuwa wanawake wanapenda kuvunja ndoa zao as katika hali halisi wanaoteseka zaidi ndani ya ndoa ni wanawake.na kinachovunja ndoa ni mambo kama vile kukosekana kwa uvumilivu katika ndoa nyingi za sasa,usaliti ndani ya ndoa mmomonyoko wa maadili na mengineyo mengi.
 
na kukosekana kwa uadilifu mbele za Mungu mwenyezi kaka Blue G ulikua umesahau. Mie, nimepita tu kukusalimia my brother.
Si kweli kabisa kuwa wanawake wanapenda kuvunja ndoa zao as katika hali halisi wanaoteseka zaidi ndani ya ndoa ni wanawake.na kinachovunja ndoa ni mambo kama vile kukosekana kwa uvumilivu katika ndoa nyingi za sasa,usaliti ndani ya ndoa mmomonyoko wa maadili na mengineyo mengi.
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama kuna mwanamke anapenda ndoa yake ivunjike,ila hua tunavumilia mpaka inafika kikomo inabidi kukubali matokeo,ila wavunja ndoa wengi nawdays ni wanaume!wanawake tumeumbiwa uvumilivu sana na tunavumilia,wachache sana ndio hawana sifa hiyo!
 
Mimi nafikiri kuna major reasons za kuvunjika ndoa, hizi hapa ni minor sana kwa upande wangu. Ni mtazamo msitokwe na mapovu
Habari zenu wana JF natumai muwazima wa Afya.

Leo naomba tujadili suala la ndoa kw nini hazidumu katika jamii yetu na chanzo ni nini?

Kwa mnasaba wa kichwa hicho cha habari moja kwa moja natupa shutuma kwa wanawake ndio chanzo cha kuvununja ndoa ingawaje talaka ya kumaliza mkataba huo anatoa mwanamme wanawake kwa 100% wao wanahusika kwa sababu za kidini kisaikolojia na kijinsia kama zifuatazo:-

Mwenyezimungu mtukufu ktk Qur-ani amesema " Nimekuumbieni wake zenu (wanawake) tena wajinsia yenu ili mupate utulivu" kwa aya hio wanawake ndio wenye wajibu na jukumu la kuwapa wanaume utulivu

Wanawake wengi wanashindwa kujua majukumu yao ktk ndoa na kuwazarau waume zao eti tu kwa sababu akitoka anaulizwa hali na wanaume si chini ya 100 wamejisahau kua kulenga si kufuma na kusalimiwa si kupendwa.

Mara nyingi wanawake baada ya kuolewa wanabadilika baada ya kumaliza kipindi cha honey moon wao ndio wanakua jeuri na kiburi na kua wachafu tofauti kabisa na kipindi walichokua wachumba wakiibana vichochoroni uzuri wote unatoweka.

Wanawake wengi baada ya ndoa usafi hupungua anaweza kushinda na gauni siku 3 ww ukiingia na kutoka unamuona habadiliki hata akikoga anakogea kitanda namaanisha anakoga usiku akitaka kulala utauonaje uzuri wake ? Mbadala ya hapo ndio ikaonekana kua wanaume waliowengi wanafadhaika kwa wanawake wa njee waliojiremba kwa kutafuta soko.

Mwanamke hana maandalizi yoyote katika tendo la ndoa na mume wake ukijaribu kusogelea mido zake joto lake kuliko bekari na harufu yake kuliko choo akinadada basi mnashinda hata kujiwekea poda maeneo kama hayo ukijumuisha na kwapa? Huwezi kusema uzamie lulu huko ndio utqtoka na vidonda kama muathirika hakufiki kwa acid na haru mbaya.

Ila dada huyo huyo akienda kwa hawara wake atakoga maji pipa zima manukato ya kila aina na mapoda ya bei hali anatamani kietezo kingepenya kule chini kwa hali hii lazima useme hawara wako anakufikisha kwa kua unajiaandaa kwa ajili yake na sio kwa yule aliekumiliki.

Huu ni wangu uono toa hoja na sio ushabiki
 
Sina uzoefu wa kutengana ngoja waje waliovunja ndoa zao watueleze
 
Mkuu yoote umeongea vema sana ila umesahau tatizo la kununa nuna ndani ya ndoa.... Ukiona mwanaume kakaa baa anakunywa bia mdogo mdogo usidhani anasubiri ishu au katega mingo za michakato ya hela....wengine wanavuta muda wakute mama watoto keshalala......
 
Mara nyingi wanawake baada ya kuolewa wanabadilika baada ya kumaliza kipindi cha honey moon wao ndio wanakua jeuri na kiburi na kua wachafu tofauti kabisa na kipindi walichokua wachumba wakiibana vichochoroni uzuri wote unatoweka.

Wanawake wengi baada ya ndoa usafi hupungua anaweza kushinda na gauni siku 3 ww ukiingia na kutoka unamuona habadiliki hata akikoga anakogea kitanda namaanisha anakoga usiku akitaka kulala utauonaje uzuri wake ? Mbadala ya hapo ndio ikaonekana kua wanaume waliowengi wanafadhaika kwa wanawake wa njee waliojiremba kwa kutafuta soko.

Mwanamke hana maandalizi yoyote katika tendo la ndoa na mume wake ukijaribu kusogelea mido zake joto lake kuliko bekari na harufu yake kuliko choo akinadada basi mnashinda hata kujiwekea poda maeneo kama hayo ukijumuisha na kwapa? Huwezi kusema uzamie lulu huko ndio utqtoka na vidonda kama muathirika hakufiki kwa acid na haru mbaya.

Nyoa hivyo videvu vyako vya rangi ya udhurungi, tibu utango tango na ukate kucha. Umewasema wanawake lkn jamii ya wafuga videvu wanaume ndio wachafu hasa na nafikiri wanawake huiga kwao.

Mwanaume unafuga videvu vichafu, kakanzu kamefubaa kwa jua na una utangotango kama yule mkashifu dini wa Mwenge kituoni. Unavaa lemba la Arafat lina jasho kali na kwapa halijanyolewa na bado unamlaumu mkeo kwa uchafu. Safisha na hayo masikio yako
 
kama mkeo mchafu usidhani kila mwanamke yuko hivyo........

na ndege wafananao huruka pamoja....mume msafi hawezi kuoa mke mchafu , lazima mume mchafu awe na mke mchafu

na mke matunzo ukiona mke wa mwenzio nanukia na kuopendeza ujue mumewe kagharamia...

mwanaume mjanja humwandaa mkewe toka siku inaanza hasubiri mke amwandae

halafu mwanaume angekuwa msafi anaporudi toka mihangaikoni si angeingia na mkewe bafuni kuoga? munze kuaandaana huko?

yaani yooote uloyaandika ni ya mume mchafu na mke mchafu

mwisho ndoa haijengwi na mke pekee, ndoa hujengwa na wanandoa na wanadoa ni mke na mume. usitegemee mmoja wenu ajikalishe asubirie mwenzie ajenge ndoa la hasha.....

hahahahaha kweli wewe ni Mwana Mtoka Pabaya....

yaani uliyoyasema ni kweli tupu

nimevuta na picha ni kweli aiseeeee

uwiiiiiiiiiiiiiii

Nyoa hivyo videvu vyako vya rangi ya udhurungi, tibu utango tango na ukate kucha. Umewasema wanawake lkn jamii ya wafuga videvu wanaume ndio wachafu hasa na nafikiri wanawake huiga kwao.

Mwanaume unafuga videvu vichafu, kakanzu kamefubaa kwa jua na una utangotango kama yule mkashifu dini wa Mwenge kituoni. Unavaa lemba la Arafat lina jasho kali na kwapa halijanyolewa na bado unamlaumu mkeo kwa uchafu. Safisha na hayo masikio yako
 
Last edited by a moderator:
Nimesema wanawake wanapenda kuvunja ndoa kwa sababu wao wanasahau wajibu wao na vyanzo vingi vya kuvunjika kwa ndoa vinasabanishwa na wao na wanajua lakini hawajifunzi au kuviepuka
 
mkuu acha kujibweteke...

mkeo hapo alipo anakuvumilia tu usidhani wewe safi saana...hata kwapa lako analivumilia tu.....

ndoa hujengwa na wawili..

sio ujibweteke usubirie mke ajenge ndoa utaumia...

wanaume wenyewe nyie wa miaka hii jando hamjapita full headache....vumilianeni

Inaweza kua ni kweli ila tunaangalia reshio km 95% wako hivi basi 5% hawawezi kuziba pengo ila labda wazee wawafunze watoto wa kike kabla ya ndoa mambo haya ila kwa kua ndoa ni kitu kinachoshuka thamani kwa wasichana walivyo wakifahamishwa na waumu zao ni wagumu kuelewa kulinganavna uchakavu wa ndoa
 
Hapa ndio ulipotaga haitebo

Kwa mnasaba wa kichwa hicho cha habari moja kwa moja natupa shutuma kwa wanawake ndio chanzo cha kuvununja ndoa ingawaje talaka ya kumaliza mkataba huo anatoa mwanamme wanawake kwa 100% wao wanahusika kwa sababu za kidini kisaikolojia na kijinsia kama zifuatazo:-
 
hebu orodhesha wajibu wa ndoa kwa mwanaume ni upi na wajibu wa ndoa kwa mwanamke ni upi?

Nimesema wanawake wanapenda kuvunja ndoa kwa sababu wao wanasahau wajibu wao na vyanzo vingi vya kuvunjika kwa ndoa vinasabanishwa na wao na wanajua lakini hawajifunzi au kuviepuka
 
Wajibu mwanamke unaotaka ww ni kidini au kijamii naweza kukuwekea ila kumbuka mungu ktk Qur-ani amese "ewe mtume wambie wake zako na kabint zako na wanawake wa waumini ateremshe shungi zao hadi vifuani mwao na wainamishe macho yao na wasizihirishe mapambo yao ila kwa waume zao au wale iliowamiliki mikono yao"
Hapo juu nilisema wanawake hawajipambi kwa ajili ya waume zao ila wakienda kwa mahawara zao au harusini au kwa mashoga zao au wakienda mjini.

Ukitaka huu ni 1 kati ya wajibu wa mwanamke kwa muume
 
Nimesema wanawake wanapenda kuvunja ndoa kwa sababu wao wanasahau wajibu wao na vyanzo vingi vya kuvunjika kwa ndoa vinasabanishwa na wao na wanajua lakini hawajifunzi au kuviepuka

We unalako jambo wewe wala sio bure.

Tatizo lenu ninyi mnafikiri kazi ya kuitunza na kuijenga ndoa ni ya mwanamke.. Its 2 sided brother, mnajisahau sana.

Kinachotokea sasa hivi wanawake kwanza wanajitambua, pili wana uwezo wa kupata riziki wenyewe so ukileta fyoko fyoko zako.. Humjali mai wife wako.. Hakuna ma care ni either usaidiwe au mwenzio anasepa.

Kwani bei gani.. We only live once .. So at any price we need to be happy.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sidhani kama umewatendea haki wanawake zaidi ya kuwaponda bila sababu za msingi,
vyote ulivyoandika hapo vinategemeana.

Mwanamke kuto jisafisha.
Kwani mwanamke huwa msafi pindi awapo na mwanaume msafi, sidhani kama mwanamke anaweza kuwa mchafu huku mwanaume ni msafi(mtanashati mtu wa mwendo wa suruali na shati, moka chini full tai yaani mwendo wa kuvunja kabati).

Mwanamke kutofanya maandalizi yoyote katika tendo la ndoa.
Sidhani kama ni jukumu la mwanamke pekee kufanya maandalizi katika tendo la ndoa,
hebu fikiria mkama mwanamke akifanya maandalizi yote ilihali mwanamme analeta mizinguo.
Je ni jukumu la mwanamke kumlazimisha aau ndo mtasema anakuRAPE.

Hebu tujikite wote katika kuijenge ndoa wala tusimtupie lawama mmoja kati yetu kwani tutashia katika lawama huku ndoa/familia zetu zikiendelea kuingia katika migogoro isiyo na sababu.
 
Back
Top Bottom