moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
Siku nyingine usirudie kukemea tendo tamu kama hili. Nasema tena usirudie. Utapata Taabu binti.
Afadhari nyeto kuliko kushusha injini aseehh maana madhara yake yako nje nje
Mkuu chaputa sio nzuri pia ni hatari unajifanyiaje mwenyewe na p.... Ziko kedekede.Afadhari nyeto kuliko kushusha injini aseehh maana madhara yake yako nje nje
N.b Mimi ni mwenyekiti CHAPUTA ngazi ya taifa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kama nakuona ukifanya huoni aibu, mi hata nikiwa mwenyewe nikitaka kufanya kisicho cha kawaida najioneq aibuSiku nyingine usirudie kukemea tendo tamu kama hili. Nasema tena usirudie. Utapata Taabu binti.
Alifanyeje mkuu wewe hukuwq na mpango naye ulitegemea nini?Nilimkanya sana asije akathubutu japo kujaribu kutoa ile mimba akajifanya kichwa ngumu ,kilichompata ni siri yake na kaapa hatorudia tena maana alishachungulia kaburi almanusra aingie. Sio kila mimba inakubali kutolewa
Baki hivo hivo, hujui radha ya Puli wewe. Na saizi tumegundua staili mpya, tunaweka mguu mmoja ukutani ndo unapiga. Chaputa Hoyeeee...[emoji1] [emoji1] [emoji1] kama nakuona ukifanya huoni aibu, mi hata nikiwa mwenyewe nikitaka kufanya kisicho cha kawaida najioneq aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa na bora ni sijui kabisa hicho kitendo cha aibu maana, hyo yakuweka mguu ukutani kiboko angalia usizimie bafuniBaki hivo hivo, hujui radha ya Puli wewe. Na saizi tumegundua staili mpya, tunaweka mguu mmoja ukutani ndo unapiga. Chaputa Hoyeeee...
Alitaka mwenyewe tukafanya makubaliano baadaye akaenda kushauriwa huko akataka kuabort weeeeee weeeeeee moto alioupata sio wa nchi hii
Duh! Mkuu kwani wamekuwa magari?Wanawake wengi wanaopata ujauzito na kutaka kushusha injini wanaangukia katika mawazo mgando na wengine kiafya.
Wanawake wengi kwanza hufikiria hivi:
1.Jamii itamuonaje amepata ujauzito kabla ya kuolewa kwahiyo atajitahidi atoe ili asijekuonekana Malaya
2.wazazi wanaweza kuchukua uamuzi tofauti juu ya binti yao kupata kifurushi mapema kabla ya muda wa ndoa.
3.Kujinyima fursa ya kuolewa wengi wanawaza kuwa akibeba ujauzito basi ndio atakua ashafunga milango ya kuolewa kwahiyo anaona bora atoe ili asijifungie fursa ya kuolewa.
4.wachache ndio hutoa kwa sababu za kiafya hapa katika 100% basi 2%
Wanawake punguzeni kushusha injini sababu ya mawazo mgando mnayokuwa nayo.
Kumbe kuna wanaoombaga wanaume wa kuzaa naye, alitolewa kizazi nini?Alitaka mwenyewe tukafanya makubaliano baadaye akaenda kushauriwa huko akataka kuabort weeeeee weeeeeee moto alioupata sio wa nchi hii
Wapo wengi tuKumbe kuna wanaoombaga wanaume wa kuzaa naye, alitolewa kizazi nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na uuwaji pia...zile shahawa wanazomwagia chooni zingeweza kuleta viumbe wapya duniani