Ni kama kuuza chai vileeeee.....!!!Tena tafiti zenyewe mtu anahadithia mkasa wake mwenyewe na kuwaambia ni utafiti
Umeona, kwa kweli kama Hao wewe sikia kwa jirani kwanza hawana heshima kwa wenzi wao ndo Hao utasikia wanakuambia Mwanaume mashine Pesa hata mimi Ninazo yaani wanagongana kama Kumbi kumbi.Usijarbu kuoa mtumishi utalia yaani ni wachafu mnoo mimi nili fanya kazi kwenye halmashauri moja dah ni hatari sana hasa kwa kipewa mialiko ya semina hapo ndipo wanapo liwa,
Kaka ukifuatilia maisha ya kuku hutamla ...wanawake watatupandisha chumvi mwilini bure...kinachotakiwa usijali nani aliogelea mbele yako nani anaogelea na ninani atakayeogelea bada na kabla ya wewe .play safe ndugu yanguNimekuwa kwenye wakati mgum sana wa kufanya tafiti zangu binafsi kwa muda mrefu sasa kuhusu kujua ni watu wa aina zipi wanaongoza kwa usaliti katika ndoa zao kati ya Mwanamke (mama wa nyumba) na mwanamke (Mwajiliwa ) binafsi japo utafiti wangu kwako unaweza ukawa hauna mashiko, Lkn Wanawake walio ajiliwa wanaongoza kwa usaliti japo Sio kwamba na wale Mama wa nyumbani kwamba hawachepuki nao wanachepuka lkn si kwa kiwango kama Hawa Wafanyakazi na Wafanyabiashara wanao Fata Mizigo nje na maeneo yao kwa maana ya kusafiri Bila kuwasahau wale ambao Wamezaa na wapenzi wao wa Zamani na kuolewa na watu wengine kwa tafiti zangu Hao nao penzi huwa halifi kwa wazazi wenzao Labda sijui kuwe na shida gani kumnyima papuchi mwenzi wake.
Nimekupenda bure!Sio wote aisee siwe wengine tunatosheka vizuri...cha msingi wote mpendane.
Acha umbea wewe....Tupe hicho kisa cha Kumvua Ch...... Please Mama Mchungaji.

not fear.... Kila kitu kosa kwenye mahusiano ni mwanamke kila kosa kwenye ndoa ni mwanamke...

Binamu hapa ume maanisha nini!Hivi huwa wanacheat na nani!! Mie najua wanaume ni wachache kuliko wanaume!!
Tangu mama mchungaji niliyekuwa namwamini na kumheshimu sana kaishusha ch**pi yake yy mwenyewe tena kwa ushawishi wake imani imepungua sana
Tangu mama mchungaji niliyekuwa namwamini na kumheshimu sana kaishusha ch**pi yake yy mwenyewe tena kwa ushawishi wake imani imepungua sana




aisee ulimlaa mama mchungajiiNaamNimekuwa kwenye wakati mgum sana wa kufanya tafiti zangu binafsi kwa muda mrefu sasa kuhusu kujua ni watu wa aina zipi wanaongoza kwa usaliti katika ndoa zao kati ya Mwanamke (mama wa nyumba) na mwanamke (Mwajiliwa ) binafsi japo utafiti wangu kwako unaweza ukawa hauna mashiko, Lkn Wanawake walio ajiliwa wanaongoza kwa usaliti japo Sio kwamba na wale Mama wa nyumbani kwamba hawachepuki nao wanachepuka lkn si kwa kiwango kama Hawa Wafanyakazi na Wafanyabiashara wanao Fata Mizigo nje na maeneo yao kwa maana ya kusafiri Bila kuwasahau wale ambao Wamezaa na wapenzi wao wa Zamani na kuolewa na watu wengine kwa tafiti zangu Hao nao penzi huwa halifi kwa wazazi wenzao Labda sijui kuwe na shida gani kumnyima papuchi mwenzi wake.