Makoja
Member
- Mar 21, 2018
- 33
- 76
Nimekuwa kwenye wakati mgum sana wa kufanya tafiti zangu binafsi kwa muda mrefu sasa kuhusu kujua ni watu wa aina zipi wanaongoza kwa usaliti katika ndoa zao kati ya Mwanamke (mama wa nyumba) na mwanamke (Mwajiliwa ) binafsi japo utafiti wangu kwako unaweza ukawa hauna mashiko, Lkn Wanawake walio ajiliwa wanaongoza kwa usaliti japo Sio kwamba na wale Mama wa nyumbani kwamba hawachepuki nao wanachepuka lkn si kwa kiwango kama Hawa Wafanyakazi na Wafanyabiashara wanao Fata Mizigo nje na maeneo yao kwa maana ya kusafiri Bila kuwasahau wale ambao Wamezaa na wapenzi wao wa Zamani na kuolewa na watu wengine kwa tafiti zangu Hao nao penzi huwa halifi kwa wazazi wenzao Labda sijui kuwe na shida gani kumnyima papuchi mwenzi wake.
