Wanawake wanaonewa katika hili

Wanawake wanaonewa katika hili

PRJ2012

Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
30
Reaction score
25
Baada ya break up, mwanamke akianzisha mahusiano soon after anaonekana hajatulia na jamii inayomzunguka inamchukulia vibaya. Lakini mwanaume anapofanya the same thing, jamii hiyo hiyo inaona ni sawa tu na wengine hata husifia 'speed' yake ya kumove on. Hii ni haki kweli wadau?
 
Maisha ni wewe unayepanga na atakayeyaishi ni wewe;mi nadhani cha muhimu ni kufanya maamuzi yako bila kuangalia watu wa nje wanasema nini.
 
Back
Top Bottom