Nyamsusa JB
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 567
- 1,565
Nilikua sijui hiki kitu mpaka pale iliponitokea.
Niliwahi kupata kesi kazini ambayo ilinimaliza kabisa confidence yangu, kwa mzingira yalivyokua ilikua lazima nifukuzwe.
Siku moja kabla ya hukumu ya kesi yangu nilitembelewa na Mchumba wangu kwa usiku mzima.
Aisee mtoto aliku ni kinanda sijawahi ona, mototo anajua kulilia mashine mpaka unajikubali kumbe mimi ni mtamu jamani.
Mtoto analalama asikwambie mtu, asubuhi kesho yake vyumba jirani vya ile guesthouse waliadmire na kunipongeza kua tulipiga game heavy last night.
Wakati tunatoka Counter tulikutana na mzee moja wa makamo na mke wake, waliuliza hivi nyie ndo mlikua chumba jirani, da niliogopa nilijua alikereka na ile milindimo lakini cha kushangaza akanipongeza sana akasema nimemkumbusha mbali sana, akasema enzi zao ndo walikua wanapiga magem heavy kama hayo, akaomba counter aturudishie pesa zetu kwani yeye atalipa gharama yote tuliyotumia pale.
Basi tukaachana mi nikaenda Job nikiwa na full confidence ya kila kitu, manaake nilijuiliza kama naweza kumliza mwanamke kwa kiwango kile ije iwe kesi tu, aisee nilimwaga utetezi mpaka kila mtu akajiuliza nimevuta bangi gani jana.
Nililisinda kesi na Promotion juu,
Niliwaambia washikaji kinanda kimeniokoa, hawakunielewa, leo hapa ndo natoa full story kwa mara ya kwanza nadhani kama watasoma watanielewa sasa.
Tangu siku hiyo napenda wanawake vinanda.
Kumbe wanawake wanambinu yingi za kutuamsha wanaume.
Hongereni sana wanawake, nawapenda sana.