Wanawake wanaodharau watu soma hapa

Haya yapo na tunakutana nayo kila uchao.. umakini uwe tusiangalie mali na elimu tukasahau ni maisha yetu tinayaweka hewani.. Uwiiiiiiiiii
 
Hii n story ya kutunga sabab m2 aliyezaliwa 1987 mmh c anawez kuwa na 26yrs 2 hv inakuaje aseme amechelewa kuolewa .? Imenikata stimu ila inafundsha bt kuna vi2 vingi amedanganya n bora angesema 2 mada yake inagusa nin

Sijui kama ni story ya kutunga ama la,ila nikusaidie muhusika amesema alikua ameokoka,ktk makanisa ya waliookoka miaka 26 umri huwa umekimbia,maana wengi huolewa early 20yrs hii ni kwasababu wengi hujitunza na kuepuka zinaa hivyo uamua kufunga ndoa mapema..Ukae hadi 26 hushiriki na mume????pagumu,so jaribu kufatilia ndoa zinazofungwa katika makanisa haya na mengine utaligundua hili. Si kama kwengine watu huishi,huzaa baadae ndipo huona........Nikirudi kwenye post KWELI NI FUNDISHO USIMDHARAU MTU WHILE LIFE GOES ON,CHANGES HUTOKEA AT ANY TIME IN LIFE.
 

Wako wengi tu kama wewe ambao jambo likitokea huwa wanaamini ni kwa sababu ya ujinga wa fulani na mimi haliwezi kunitokea kwa kuwa mimi ni mjanja.

Niliwahi kumgegeda binti mmoja kwa ujeuri kama huu wa kwako. Nilimwambia wakati namtongoza kuwa 'watu wanasema wewe ni jeuri sana', naye akaniuliza kama ninajua yeye ni jeuri namtakia nini, nikamwamjibu kuwa nilifurahi sana kusikia kuwa yeye ni jeuri, lkn kwangu hiyo ni tafsiri ya mwanamke mwenye msimamo kwa hiyo hilo halinizuii kumtafuta kwa nguvu hata ikinilazimu kutumia miaka sita....kwani alimaliza mwezi?!!

Halafu inaonekana ww ni mchaga, ujuaji wa kichaga huu. Take care, mwanaume akikutaka hata nguo huwa tunaazima
 
dismynder1 nataka nikutoe out...but kabla cjakutoa out will u marry me? Nisije nikaingia gharama za bure...
 
Last edited by a moderator:
Mmh! naona km tamthilia vile. Ivi inawezekana mtu usiyemzoea,"leo nkutoa out" then yees! "will marry me" then yees! hata wa pale sinza mori wanaweza dadis kido. unaposema boyfrnd wako ni tajiri ,to what scale&how? nfkr ni sory aliwapgia mchungaji kutoa fundisho, mwaonaje?
 
Mtoa mada umeeleza zea hali halisi,Labda Mungu anatumia watu wake kuja huku mitandaoni DAAA...?
HONGERA KWA SOMO....
 

watu wanaishi na virusi wapo wengi tu na hawalali kitandani wakisubiria siku zao bali wanachapa kazi...wapo viongozi wengi na wana madaraka makubwa....this story is very fictitious...lakini ni nzuri kwa watoto wa high school
 

Nguvu na uhai ulionao unakulevya wewe! Cc tumekusamehe ila na we pia utamuomba mungu sana pindi yakikufika kama haya yalioandikwa hapa. Wanasema hujafa hujaumbika, cha muhimu tujifuze kupitia story hii.

Dunian kila kiumbe ni muhimu anastahili kuheshimiwa na binadamu ni moja ya viumbe dhaifu sana duniani uhai wake umeshikwa padogo sana!
 
e
Nguvu na uhai ulionao unakulevya wewe! Cc tumekusamehe ila na we pia utamuomba mungu sana pindi yakikufika kama haya yalioandikwa hapa. Wanasema hujafa hujaumbika, cha muhimu tujifuze kupitia story hii.

Dunian kila kiumbe ni muhimu anastahili kuheshimiwa na binadamu ni moja ya viumbe dhaifu sana duniani uhai wake umeshikwa padogo sana!
 
Benz/ X5/ VX V8, vinatuponza. Nawasikitikia wasichana wadogo wanaolimbukia maisha na kutaka kupewa kazi, kupangishiwa nyumba na wababa wenye wake na watoto. Jiulize, y u?
 


Hii ni elimu tosha kwa mademu wa kibongo.
 
stori inafundisha,
mwenye masikio na asikie!!!but in life we should learn to play safe

Ama kweli Hadithi ncha saba ,lakini pia ukiambiwa ujiambie ,hivi inaingia akilini mtu ndio mara ya kwanza anakutowa out halafu siku hiyo hiyo anakupigia Goti na kukuliza kama mutaowana ? hadithi za akina abunuwasi hizi

siku hiyo nikiwa kazini simu yangu ya
mkononi iliita moyoni nikawa natamani
awe yule kijana. Kuangalia simu ilikuwa
ni ya yule kijana kweli, niliruka kwa
furaha bila hata kujua anaenda kusema
nini.., alinisalimu kisha akaomba anitoe
out siku hiyo.., nikwambie ndugu yangu
toka niokoke ndio mara ya kwanza
nilimsikia mtu akiniambia kutoka out, na
hapo nilijibu bila kufikiri mara mbili..,
YEEEEES!!! Alicheka akakata simu nami
nikabaki nimeishika ile simu


Siku hiyo tumetoka out tulienda Serena
na hiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza
kwenda hapo kufurahi.., tukiwa hapo
tuliongea mengi ila sikusikia lolote juu
ya mahusiano, nilianza kumchukia
kidogo kidogo. Baada ya masaa kama
mawili alisimama akaenda msalani, siku
hiyo ndo niligundua kuwa alikuwa ni
Mhasibu kwenye Kampuni moja hapa
jijini na alikuwa na Masters so hapo
niliona niko na mwenye sifa haaaasa!!
Ambaye nilijua ndugu, rafiki na hata
kanisani wakijua ndo mtarajiwa
nitaheshimiwa zaidi. Aliporudi yule
kijana alikaa kimyaa kama mtu
aliyekuwa akitafakari jambo.., akaniuliza
swali.., Anna will you marry me?? Kweli
nilingoja wakati kama huo ufikeeee..,
nilitabasamu.., nikajibu.., Yes baby!!
Alisimama akanikumbatia nami bila
kufikiria niliitikia. Alinirudisha home siku
hiyo nilikuwa na furaha sana.
 

hahaaa unajua sijasoma kote,kuna kipart nilisoma
i dnt knw kama ilikuwa mwamzono au mwishoni ndo nikasema hivyo...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…