Wanawake wananiogopa!!

Pole mwenzangu ebu badilikaaa! labda unasura ya ukali kila mara kama mwanajeshi akaa!!! ebu weka picha yako kwaza halafu ntakwambia wapi unakosea mana haiwi wasicha kukuona kituko,na weye ukikasirika mtu ka mie nafa kabla hujanisogelea kwa uwoga.

Kaogelee baalini utatoa nukusi.......Misemo ya waswahili jaribu unaweza kufanikisha pia.

 
Wandugu
Yameongelewa mengi sana hapa.....
mengi yamenifurahisha sana na nimejikuta nacheka tu kila nikivuta huu uzi...
kuna some points za msingi nimezi note down,i will work on them...
AHsanteni sana....
I promise u all to bring about the feedback after 6 months hivi...

THANKS SANA!!!

The Magnificient.....
 
Tatizo lako ni kuwa unatabasamu pale unapojitazama kwenye kioo tu
nje ya hapo huna tabasamu isipokuwa hujijui.
 

Ndugu yangu labda wewe ni wale wanaojifanya wasela mavi,hivyo warembo wengi hawawezi kukuzoea,jiangalie.
 
Labda una- au ulikuwa unaonekana km msomi fulani hivi (msongo, chinga, etc) ambaye hajali kingine zaidi ya kitabu. Wanawake ni wepesi kumzodoa (sijui km ni Kisw. sahihi) mtu, hasa mwanaume, lkn wao ni waoga kuzodolewa.
 
Punguza useriouse, ndo utakuponza' kuwa m2 wa kucheka nao mda mwing, itakusaidia.
 
You just need to provoke and practice some sense of humour...you will come and tell us what this can do in the matters of the hearts!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…