Wanawake wanakipaji cha kunusa hela

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
569
Hiki ni kipaji ambacho kila mwanamke kaumbiwa nacho na hasa hawa wa sasa ndio kuna improvements zaidi. Akikaa mtu aliyenazo na asie nazo kwa kutazama tu mwanamke anaweza tofautisha.

Hata uwe rafu vipi, wanaweza jua kama unazo.Hata ukiwa smart namna gani, watajua tu kua huna lolote,hawa viumbe wanauwezo wa ajabu kunusa hela hata mita mia.

Ukipata atajua, kama huna atajua. Aisee hivi hela ni part ya DNA zenu.
 
Tatizo ukuwa nazo zinakupa ujasiri flan na kujiamini kitu ambacho kinakufanya hata wewe mwenyewe usijue kwamba kuna vitu unafanya tofauti na ukiwa huna pesa. Kuna mfanya biashara mmoja maarufu wa Marekani

anakwambia akiwa anaenda kwenye mkutano au shughuli ya mipango ya kibiashara lazima mfukoni awe amebeba USD 5000 hata kama ndio ametoa pesa zake zote kwenye account yake. Lengo ni kumpa ujasiri.
 
Hivi wewe ukiwa na hela na ukiwa huna unakuwa sawa sawa mentally au physically?
 
Hivi wewe ukiwa na hela na ukiwa huna unakuwa sawa sawa mentally au physically?

Unajua hata vibaka ni ma professor na wanacheza sana na saikolojia zetu. Wanayajua sana haya mambo wanajua nani ana pesa na nani hana, hata wakikuangalia tu mdundo wako unapotembea wanajua huyu jamaaa anazo. Piga suti yako kama hauna kitu hata hawakutazami mara mbili!
 
Ukiwa nazo ghafla unakuwa tofauti. Hufikiri mara mbili mbili kutenda mambo.
 
Apo mtoa mada umenenaa.........yaaan mimi nanusa hela daah ata mtu awe umbali wa hatua tano najua huyu anazo au hana......kweli tuna vipaji
 
Hela zinawachangamsha kuliko hata gongo, ila sio wote bana wapo wanaotulia hata wakiwa nazo huwezi kujua kirahisi
 
Atakwambia baby naomba elfu kumi na hiyohiyo ndo unayo,yaani wengine macho yao x_ray
 
Hela zinawachangamsha kuliko hata gongo, ila sio wote bana wapo wanaotulia hata wakiwa nazo huwezi kujua kirahisi


mtu mwenye hela hata akitulia kama mkapa namjua tuuu.
na kama huna hata uje na shangingi machale yananicheza
 
Dah hata hujakosea mtoa maada,maana ukiwa na hela huwa kuna ka ujasiri fulani hivi aiseeeeee.PESA PESA PESA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…