mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,966
AnhaaaSWALI : wanawake wanakuwa wana madini gani katika miili yao ??
JIBU: Madini Joto.
Uliza swali jingine.
Kasinde.
mzee wa kasumba ...na kasumba zake
duh(Methali 30 )
------------
18Kuna mambo matatu yaliyo ya ajabu kwangu, Naam, kuna manne nisiyoyafahamu.
19Mwendo wa tai katika hewa; Na mwendo wa nyoka juu ya mwamba; Mwendo wa merikebu katikati ya bahari; Na mwendo wa mtu pamoja na msichana.