Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,682
Wanawake wana kisasi sana. Anakupa mbunye ukimfurahisha, anakunyima ukimuudhi au ukimkosea na pia atampa yoyote hata asiye mpenda ili tu kukukomoa.
Usiombe mwanamke akukomoe, anaweza hata kuchukua mswaki wako akasugulia choo.
JIFUNZE KUMWAMBIA UMPENDAE SAMAHANI.
HUMBLENESS PAYS
Usiombe mwanamke akukomoe, anaweza hata kuchukua mswaki wako akasugulia choo.
JIFUNZE KUMWAMBIA UMPENDAE SAMAHANI.
HUMBLENESS PAYS