WANAWAKE wamvaa RC Arusha WAKIDAI MAJI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WANAWAKE wamvaa RC Arusha WAKIDAI MAJI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Arusha Leo, Oct 21, 2012.

 1. A

  Arusha Leo Senior Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ZAIDI ya akinamama 300 kutoka jamii ya kifugaji katika kijiji cha Nadosoito kusini,kata ya Terat katika halmashauri ya jiji la Arusha,wameandamana katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha ,Magesa Mulongo wakiwalalamikia viongozi wao kushindwa kutatua kero mbalimbali zinazowakabili, likiwemo tatizo kubwa la uhaba wa maji ambalo ni la muda mrefu kijijini hapo,wakidai viongozi wa mkoa wameitenga kata yao kwani hata mbunge wao hawamfahamu.
   
Loading...