Wanawake waliopo ndani ya ndoa

Wanawake waliopo ndani ya ndoa

dagaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
290
Reaction score
382
Leo nimeamini ule usemi wa mume si ndungu yako bali mnasaidiana maisha, kosa langu nilijisahau sana nikawa muwazi kwa kila kitu kuanzia biashara mpaka msahahara wangu.

Kumbe kuna vitu vingine inabidi nifanye mwenyewe make si kwa vituko ivi. Asante baba sijafa wanawake wenzangu mlioko ndani ya ndoa mnanilionaje ili manayake hawa viumbe kama vinyonga.
 
Kumbe umewaita wanawake wenzako waje walizungumie, basi mim hapo sitatia neno ila kama shemeji kama yupo Jf na username yako anaijua basi kakuskia
 
Pole shoga mie nimekuelewa..ukipenda usipende na kichwa anza na miguu.
 
Samahani lakini, mimi ni mdume, ila nachangia kidogo, ni kweli kwa dunia hii kuna baadhi ya vitu vifanyeni kuwa siri sio wanawake tu hata wanaume pia. Kwa mfano mimi mwanaume ni lazima nifiche hata ka-pocket money, maana anaweza rafiki yangu kuja na shida ya hela kidogo tu say shilingi laki tatu. Kweli ni hela ya kukaa kikao cha familia kujadili hiyo?! Ila vitu vya msingi viwekeni wazi visije vikazua sokomoko mfano vyanzo vya mapato viwe peupe tu ili kuondoa mashaka ya "misaada kutoka nje ya himaya."
 
Labda familia yako 300,000/- ndio ndogo hivyo! Wengine ndio mshahara wa mwezi mzima au chini ya hapo! Hongera zako.
 
Leo nimeamini ule usemi wa mume si ndungu yako bali mnasaidiana maisha, kosa langu nilijisahau sana nikawa muwazi kwa kila kitu kuanzia biashara mpaka msahahara wangu.

Kumbe kuna vitu vingine inabidi nifanye mwenyewe make si kwa vituko ivi. Asante baba sijafa wanawake wenzangu mlioko ndani ya ndoa mnanilionaje ili manayake hawa viumbe kama vinyonga.

pole sana Dagaa!!! Katika Maisha ya Ndoa Uhaminifu ni kitu cha msingi na kikumbwa sana. Ukimwamini Mume wako na yeye akakuamini hayo yote hayawezi kutokea. sio kuaminiana tu ki mwili, hapana mnatakiwa muaminiane kwa kila kitu, kwa sababu mnapofunga ndoa mnakuwa mwili mmoja.

pole sana. tatizo wewe ulimwamini ila yeye hakukuamini.
 
Hehehehe Dagaa kamezwa na kambale

Pole mwaya kukosea njia ndy kujua njia, sometime tunapita kwnye makorongo na barabara mbovu ili kutuimarisha kinguvu n uwezo zaidi katika safari tuendayo

Hope u learn something from u r path
 
Pole shoga mie nimekuelewa..ukipenda usipende na kichwa anza na miguu.

khaa asipende na kichwa tena wakati siyo ndoani jamani? au mi ndo sijamuelewa
 
Back
Top Bottom