Habari ya mjini ni kwamba wanawake waliondani ya ndoa tena watumishi walioajiriwa!!! wana staili mpya sasa hivi, Mwanamke anakuwa anamiliki simu ambayo mume wake haijui, Na hiyo simu anakuwa anahiacha kwenye Droo ya meza ya ofisi, akifika ofisini anaanza kuchat na mahawala zake! Anafanya upuuzi anaojua!! Akirudi nyumbani cmu anaiacha ofisini. Jamani wanaume tufanyaje? kumaliza hili tatizo.