Ni mtazamo wangu tu.labda kwa vile mimi nipo kwen late 40s😉
Wanajamvi habarini za weekend?
Sasa hii ni kulinganisha na wenzao teenagers na walioko kwen 20s.
Kwa kuongezea binamu, ni wawazi, wana-keep appointments, wasafi na pia hawa-deki deki kijinga, na zaidi hata gharama muwapo kwenye mtoko wanaweza kuchangia! Wanakubalika sana kwa ujumla!Hata mizinga hawapigi ovyo ovyo mpwa
-Hata mizinga hawapigi ovyo ovyo mpwa
-Hawezi beba mashosti kwenye appointment
-Anaelewa maisha yalivyo ukimwambia huna kitu mwelewa
-Hawana makuu, wavumilivu
-Wanajua kuthamini/kumjali mwenza.
gfsonwin lol kwa nini nilete weekend watu si watakiwa wamelewa tayari duhmmmh! @swtlo
mada kama hii uiletage week end mweeh! sasa hapa unataka niseme nini jamani????
Lakini naomba niongeze kitu hapo, kwamba uliyosema ni kweli kabisa hilo halina upinzani ila tu kuna jambo moja umesahau ama napenda niliongezee hapo.
itatokea akafurahia zaid tendo la ndoa/ngono iwapo hana any external disturbing factor like, asiwe hajaolewa na ana crive for getting married, asiwe hajapa mtoto and anatamani kweli kupata mtoto mambo haya mawili nimiongoni mwa factors ambazo huwafanya wanawake wa umri huo kushindwa kufurahia but kama hapo kavuka ukweli huwa anafaidi sana kunako 6*6.
ndio maana nikasema kama yuko free from externalities.gfsonwin lol kwa nini nilete weekend watu si watakiwa wamelewa tayari duh
Ila apo kwen ndoa na.mtoto.nimeassume kuwa hizo sio issue zinazomsumbua cos kuna wengine wanakuwa hawana vyote na hawana wasi wasi they just live their life