Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,353
- 8,466
Hatari sana hiiNdio haswa, kuliko mke wako awapende ndugu zako hasa wa kiume,maumivu tu.
Hahaaahuu ni ukweli ulio uchi.
Anataka kujitetea huyuacha wewe
Kumbee duuNdivyo walivyo umbwa
Bora umeona na upande wa piliTatizo ndugu zetu nao wanaendekeza NJAA.
Kua na mahusiano na ndugu si kitu kibaya lakini ndugu wa sisi wanaume huvuka mipaka.
Mawifi, mashemeji ni watu wa ovyo ovyo sana. Mbaya zaidi ukiwa na vijisenti watatumia njia yeyote ile kumfanya WI-FI aonekane hafai.
Inategemea mtu na mtu!