wanawake wakiwezeshwa wanaweza!!!

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
hebu angalia kina mama wapambanaji wakichimba mitaro ya barabara.

arusha -nairobi road.jpg
 
Ipo sera ya wizara ya ujenzi kuwashikikisha wanawake katika ujenzi wa barabara tena kuu. Na kazi wanazoweza kufanya zimeainishwa. Kipo kitengo rasmi cha kuhakikisha wanashrikishwa "women participation unit"
 
Back
Top Bottom