Waongo, hasira, wezi wa vitu vidogovidogo kama vijihela kwenye suruali!! Wanajua kusachi!! Msinipige mawe kuna ndoa nimesimamia na tabia ndiyo hii inabidi mume afiche pochi akiisharudi!! Na kwa wengine nilishasimuliwa!!! Na wengine tulikaa nao kama mabinti wa kazi, ni wezi wa vitu vidogovidogo sana!!! Nyama kilo moja utakuta nusu!!! Ni kwa wengi wao!! Ukweli hurekebisha na wenye kusoma hapa wajue wengi wao ndivyo walivyo!!!