kuna element fulani ya ukweli INGAWA SASA!hio research ako inahitaji a lots of parameters to be thoroughly examined!maanake asilimia kubwa ya wanawake ni WAFUPI
wanawake wengi tanzania ni wafupi!trust me.....!Teamo .........wafupi kuliko kitu gani?
hiyo research yake imeweka wafupi kuliko average british woman na kwa Tanzania tupewe average Tanzanian woman tujue urefu wake kwanza kabla ya kusema fulani mrefu na fulani mfupi.
mie Teamo niko hiyo 5 feet 4 inches ...........sasa sijui utaniweka katika dunia ya wafupi au dunia ya average
wanawake wengi tanzania ni wafupi!trust me.....!
wengi sana VIBUNYUNTU!SHORT CHESES
we upo tanzania?
wanawake wengi tanzania ni wafupi!trust me.....!
wengi sana VIBUNYUNTU!SHORT CHESES
we upo tanzania?
au vichenchede, tupo wengi aisee! teh teh
au vichenchede, tupo wengi aisee! teh teh
....Ulijuajeeeee???!! wako fit ingawa wengi wao wanakuwa wamejaziazia maeneo mengine yasiyostahili...otherwise ni zeze kweli kweli.:violin::violin:hapa kama kuna ka UKWELI VILEEEEEE?
au vichenchede, tupo wengi aisee! teh teh
wanawake wengi tanzania ni wafupi!trust me.....!
wengi sana VIBUNYUNTU!SHORT CHESES
we upo tanzania?