Wanawake wadhaifu sana!

Usiconclude kuwa wanawake wote ni dhaifu. Kama unabisha basi we endelea tu kusafiri afu uwe unapapasa hovyo wamama wa watu humo kwenye gari, siku utabugi kumpapasa mmama afu ukute sasa ni lijimama la kinyakyusa litakuhekenya makonde humo kwenye gari hadi utasahau unapoelekea. Halafu nahisi pia kwenye maongezi yenu ulishaona huyo mama ana udhaifu fulani, ndio maana na wewe ukapata courage ya kumpapasa.
All in all usirudie tena, wengine wanakutega uwapapase humo kumbe wana mambo yao wanayoyajua wenyewe, Itakucost

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umenitisha mkuu em ngoja nimpigie shemeji yako maana yupo mbali na hapokei simu tangu saa 6.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wew na yeye wote wadhaifu. Acha kudharirisha wanawake kwa ulamaya wako!
 
We mwanaume ndo dhaifu na una tamaa ikimbie zinaa kjana
 
Hat yeye anakushangaa mtoto mdogo kujitongizesha kwa mamako.
Wewe na yeye wote wazinifu
Watu wanasafir kila siku na hawafanyi hivyo vitendo
huyu dogo hana bao tena keshagongeshwa Moto anataka na sisi kwenye mabasi tuwatongoze abiria hata wanaoenda kutibiwa eti 'Wanawake ni dhaifu sana'
 
Eti wanawake ni dhaifu!?, hapana sema wewe na huyo mama ndo wadhaifu ko mlikutana wote wadhaifu!
 
ni ishu ndogo sana kumfanya mwanamke atoe hayo maji....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…