"perfume sio nzuri coz yai la uzazi la mwanamke hupendelea
harufu mbaya namazingira machafu ndio maana
wanawake wachafu ni rahisi kwa wao kupata mimba nyingi tofauti na wale wasafi sana"
mmmh jipya hili basi wapuliziaji perfume wote wangekuwa na ujauzito maana wengine waoga kabisa hizo manukato soo sijui kabda coz wenye maneno yao wasema"no research no right to speak".