Wanawake wa staili hii, wanakera mno

Hivi mwanamke unamtongozaje hadi anakukubalia?

Katika kukubalia huko anasemaje?

Anakwambia 'ndiyo'?

mkuu kasema kabisa kuwa naye ANANIPENDA, but nashangaa jinsi anavokuwa haeleweki!
 
demu wiki ya kwanza akikataa kuja geto nampotezea
 
Yupo kwenye hatua za ujinga, akikua ataacha.
 
Upande wa spray utajuaje hiyo utakayonunua itam-rock?

Vipo vitu standard kwa watu wanaojua maana ya vitu hivyo kuanzia designers mpaka harufu zake, kama mjuzi ukimpa kit say ya Victoria's secret , Marry Kay, Japanese Cherry (Blossom- signature collection) havuki matuta ya size hiyo. . . .
 
Jifunze kusoma alama za nyakati.


"Analyse"
 
Kwakua umemtongoza kakubali, mtafutie timing donoa kisha bwaga haraka
 
Vipo vitu standard kwa watu wanaojua maana ya vitu hivyo kuanzia designers mpaka harufu zake, kama mjuzi ukimpa kit say ya Victoria's secret , Marry Kay, Japanese Cherry (Blossom- signature collection) havuki matuta ya size hiyo. . . .
Asante mkuu.
 
Duuuuu!mtihani,hayo yote unakuwa huna kazi nyingine za kufanya???
 
nani afanye ujinga huo yaani nipasuke hela halafu mwisho wa siku unitelekeze bila hata ya kukujua unafikiri hatuwajui usaliti wenu kwenye mapenzi
Papuchu hadi NDOA kwani ni bikira?kama mwanamke yupo bikra naweza kubali,tena bikra iliyopimwa na kuthibitishwa na Daktari.Sio umeshagawa huko hafu inaleta habari za kusubiri hadi ndoa.
 

Mwee! Yaani nikuoe sijaonja mzigo! Hiyo biashara ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia siitaki
 
Kwa utaratibu huu mi unanipoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…