Wanawake wa staili hii, wanakera mno

Achana na dem pasua kichwa, sipati picha kwa wenzake anavyokuchora.
 
Bora ya ww hamjafanya lolote,mie nimemgegeda kabisa tena kwa ufundi na speed za kueleweka.But ths time anasumbua ni balaa.Akija home hatak kuguswa!! sijui ndo wale madem wanaotaka nguvu kila wakati? Lakini siku ya 1 yy mwenyewe alitoa kila kitu.

ha ha a yani hiyo hata mi ilinikuta, siku ya kwanza nimegegeda kuja tena hata kuguswa hataki, eti ile mara ya kwanza it was a mistake...pumbvu mistake na nyapu kaachia mwenyewe!! yakaanza maigizo ooh mi sijazoea sex mara sipendi, sijui tusifanye kitu. Nikaona huu ujinga, nikapiga chini!!
 
We kama unataka kugegeda demu weka jitihada katika hilo tu, suala la kusema eti anakupenda hiyo ni hadithi mkuu mademu wa sasa wanapenda kwa vigezo sio maneno
 

tokapaa!!?
 
I hate you......

 
huyo mrembo anajamaa yaake ngoja kutibuke kule utapata mahaba moto moto
 
Ngoja nichangie kdg tu halafu nasepa. Nawahi wananchi wangu ktk mji huoo.

Wengi wamechangia vzr, lkn kwa bahati mbaya sana, wengi wana "uelewa" mdg naomba nieleweke hapo sina maana ya kuwa hawana akili, no, ila kujua km kweli mwanamke anakupenda ama laa. Kwa kawaida, mwanamke huwa hapendi kwa mara ya kwanza ama kuwa na tamaa za haraka km mwanaume, hivyo yatupasa kuwa na subira huku ukiendelea kumvuta kwa mahaba, maneno matamu vijizawadi kdg na wala usiharakishe kutaka "mzigo", ukienda hivyo km kweli ni mwanamke anayejiheshimu hutapata ht cku moja na matokeo yake utamuona km wa ajabu. Mzigo hautolewagi hivi hivi tuu km karanga za kuonjesha, hapana. Kwanza ht ww mwanaume utamdharau baada tu ya kuupata mzigo.

Mzigo ni kitu cha "thamani" kubwa sanaa haitolewi km njuguu wapendwa. Kwa hiyo bw. mdogo acha papara, tulia mwonyeshe kuwa kweli unampenda, eee bw, unaempenda utamjali utamthamini utamvumilia eeee bw..so bado hujamridhisha kiasi cha yeye kukupa mzigo.

Asante kwa kusoma.
 
Reactions: naa
Sa nikioa nikikuta mbunye inanuka ka panya au ni bwawa, au wewe ukinikuta haisimami ndo itakuaje?
 
Upande wa spray utajuaje hiyo utakayonunua itam-rock?
 

Tatizo linakuja pale pesa yake inaliwa mzigo hapewi.
Unapomwambia mwanaume asubir puchi na wewe usipige vizinga.
 

mpaka ndoa eehhh......wapo utawapata tuu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…