Shamuse_bey
JF-Expert Member
- Jun 15, 2026
- 467
- 596
Kipengele hiki nimecheka ππππ
Huo ni uongo, mimi kama mwanamke wa zamani nashauri upuuzwe π .Tuanze na kumshukuru mungu kwa kutufanya sisi sote tuwazima, habari mabibi na mabwana, wanawake wa zamani; ukimtongoza basi hua alikua hakuangalii usoni na kama kucha mikononi zitaisha, na kama ni majani yatachumwa na kung'olewa huku anacheka cheka kwa aibu na hawana mambo mengi mana hua unachotaka wewe ndo wanacho kitii.
uzi ufutweπHuo ni uongo, mimi kama mwanamke wa zamani nasema upuuzwe, huna unachokijua.
View attachment 3622150
ππKipengele hiki nimecheka ππππ
wanawake wa sasa; ukimsimamisha tu anakua anajua utanza na nini, alafu sasa uwe ndo unamtongozaa, anakutazama maeneo ya usoni, na jinsi anavyo kusikiliza ukiwa unamwaga sera zako anakua kama mtu anaegewa maagizo yani umalize kuongea yeye aondoke.
huyo mwanamke wazamani kwanza unamjua au kuropoka.Huo ni uongo, mimi kama mwanamke wa zamani nasema upuuzwe, huna unachokijua.
View attachment 3622150
Word,!Kila zama na kitabu chake,the World is always changing nothing stays the same,
Dunia inaenda mbele na hairudi nyuma.
kweli kaka.Kila zama na kitabu chake,the World is always changing nothing stays the same,
Dunia inaenda mbele na hairudi nyuma.
Wa sasa hivi kwanza ututoe dinner tukale nyama na mvinyo then tuanze kupanga utaweka mzigo kiasi gani mezaniβ¦!! πΉπΉ
Kwamba siku hizi watu hawatongozeki π
wako mbele ya muda etiππKwamba siku hizi watu hawatongozeki π
no time to wasteππWa sasa hivi kwanza ututoe dinner tukale nyama na mvinyo then tuanze kupanga utaweka mzigo kiasi gani mezaniβ¦!! πΉπΉ
Ghetto wawapeleke mahouse girl Pumbavu zao..!! πΉ