Si rahisi kuweka bango hilo kutafuta mke tena wa kabila fulani specifically. Inawezekana kabisa nyuma yake kukawa na Agenda ingine isiyozungumzika. Mungu awalinde wadada wa rombo wasiingie kwenye huo mtego.
Bango liko Mwananyamala Dar hili View attachment 3255532
Ingawa lazima tuseme, kwa ujumla Wachaga ndio kabila lililojitahidi kutoa Wake wengi Bora kwa ndoa Bora.