Kijana LOGICS Senior Member Joined Dec 16, 2023 Posts 138 Reaction score 536 Jan 4, 2024 #1 Wanawake wenye asili ya Pwani, Tanga Lindi na Mtwara ni exception. Atakupenda, atakueshimu ila kuchepuka kwao ni kawaida na ni fahari kwao. Reflection yake ni unakua na furaha ila laana ya kuchepuka itakuja kutafuna generation.
Wanawake wenye asili ya Pwani, Tanga Lindi na Mtwara ni exception. Atakupenda, atakueshimu ila kuchepuka kwao ni kawaida na ni fahari kwao. Reflection yake ni unakua na furaha ila laana ya kuchepuka itakuja kutafuna generation.
Kete Ngumu JF-Expert Member Joined Nov 21, 2014 Posts 6,661 Reaction score 6,909 Jan 4, 2024 #2 Ukweli mtupu, hapa ninapoishi kuna mtoto mmoja kaolewa na mpemba na bwanake anamaisha yake mazuri tu ila huyo binti sasa😂😂.
Ukweli mtupu, hapa ninapoishi kuna mtoto mmoja kaolewa na mpemba na bwanake anamaisha yake mazuri tu ila huyo binti sasa😂😂.
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,868 Reaction score 24,459 Jan 4, 2024 #3 Kijana LOGICS said: Wanawake wenye asili ya pwani ,tanga Lindi ,n'a mtwara ni exception . Atakupenda, atakueshimu Ila kuchepuka kwao ni kawaida na ni fahari kwao Reflection yake ni unakua n'a furaha Ila laana ya kuchepuka itakuja kutafuna generation. Click to expand... Mkuu kuna makabila kwao kuchepuka/ kugawa ni sunna. Uwepo wa magonjwa ambukizi ya ngono ndio kidogo imepunguza uchepukaji wao.😄
Kijana LOGICS said: Wanawake wenye asili ya pwani ,tanga Lindi ,n'a mtwara ni exception . Atakupenda, atakueshimu Ila kuchepuka kwao ni kawaida na ni fahari kwao Reflection yake ni unakua n'a furaha Ila laana ya kuchepuka itakuja kutafuna generation. Click to expand... Mkuu kuna makabila kwao kuchepuka/ kugawa ni sunna. Uwepo wa magonjwa ambukizi ya ngono ndio kidogo imepunguza uchepukaji wao.😄
M Mamy K JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 3,169 Reaction score 11,167 Jan 4, 2024 #4 Hamna kanda isiyokuwa na wanawake wanaochepoka....do your research....uchepukaji wa mwanamke ni wa Siri mno. Sema tu Pwani ni matrilineal region....wanawake wanachepuka Kwa kujiamini, hawaogopi kuachika.
Hamna kanda isiyokuwa na wanawake wanaochepoka....do your research....uchepukaji wa mwanamke ni wa Siri mno. Sema tu Pwani ni matrilineal region....wanawake wanachepuka Kwa kujiamini, hawaogopi kuachika.
Clayton Paul JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 2,239 Reaction score 4,738 Jan 4, 2024 #5 Ukanda Malaya
Msela Wa Kitaa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2021 Posts 2,217 Reaction score 4,276 Jan 4, 2024 #6 Mamy K said: Hamna kanda isiyokuwa na wanawake wanaochepoka....do your research....uchepukaji wa mwanamke ni wa Siri mno. Sema tu Pwani ni matrilineal region....wanawake wanachepuka Kwa kujiamini, hawaogopi kuachika. Click to expand... ila kanda ya pwani imezidi ongezea na dar jiji la ARV
Mamy K said: Hamna kanda isiyokuwa na wanawake wanaochepoka....do your research....uchepukaji wa mwanamke ni wa Siri mno. Sema tu Pwani ni matrilineal region....wanawake wanachepuka Kwa kujiamini, hawaogopi kuachika. Click to expand... ila kanda ya pwani imezidi ongezea na dar jiji la ARV
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,154 Reaction score 42,791 Jan 4, 2024 #7 Ndio tamaduni na mila zao kugawa mbunye,hakika wanagawa
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,795 Reaction score 113,343 Jan 4, 2024 #8 Takwimu
skate-board JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 490 Reaction score 581 Jan 4, 2024 #10 Wewe hujakutana na wanawake wa kikurya wewe