Wanawake wa mitandaoni

Mi sijawahi tongoza mdada kwa njia ya mtandao naomba mdada mmoja ajitokeze nimtongoze na tukisha maliza yetu ndio nitakuja kumshauri mtoa mada khaaaa!
 
Au ushampata nn mkuu?zingatia maon yote yawadau wapita.
 
......kwa nchi za wenzetu haswa bara la America ni kawaida kukuta wanandoa walikutana online. Na wapo na furaha na maisha yanaendelea.

Tena kuna wengine wamedivorce na watoto juu,then wanakuja kupata tena mpenzi online.
 
Kiongozi naomba ufafanue hapo bold kama hutojali..!

''Online dating ni playground ya wasiojua kuwinda...''

Matamshi hayo ni kwa mujibu wa mtizamo wangu katika suala zima la sanaa ya utongozaji...

Wanadamu pamoja na utashi tulionao bado haituondolei sifa ya unyama kama walivyo wananyama wengine wawindao...

Utongozaji kwa mwanaume na mwanamke ni kama uwindaji ufanyikavyo yaani kuna 'prey' na 'predator'...

Mathalani simba hawezi kuwinda mnyama ambaye hajamtia machoni na kumfanyia tathmini kwa kumuona kwanza na hadi anapoamua kufukuza ujue ana uhakika wa kumkamata...

Fisi hafanyi hivyo na ndio maana huishia kula mizoga ambayo imesuswa na waliokwisha kushiba mawindo yao...

Ukiacha hilo pia utongozaji huambatana na lugha ya ulainishaji ambayo huwa na nguvu zaidi pale watendaji wa tendo hili wanapokua ana kwa ana...

Kuna lugha ambayo viungo vyetu huwa vinazungumza na lugha hii huwa ni muhimu sana kwenye kufanikisha azma ya utongozaji...

Hizi mbwembwe za kuwasiliana online, huja tu kama hatua zinazofuata kuimarisha au kujenga mahusiano zaidi na kutimiza azma kuu...
 
Huku story tuu basi mke mitaani na kwingine
 
Mtizamo/maoni yako nimeyaelewa na pia hiyo mifano uliyotoa.
Kitu ambacho naweza ku argue hapa ni approach tofauti tunazotumia, hata huku mitandaoni ambapo wewe unahisi ni kwa wale wenye uwezo mdogo wa kutongoza live.

Ninachojiuliza ni hivi, kwani nikitongoza online si ninatumia mbinu tofauti kumshawishi manzi kukutana na mimi(au wengine hufanyaje?)

Ninapokutana na manzi si bado nina jukumu la kumshawishi awe rafiki na baadae kuingia kwenye mahusiano(au wengine wanafanyaje?)

Tunapokuwa kwenye uhusiano, ninatumia principle zangu(nilizojiwekea) kumsoma na kuona kuwa kweli huyu afaa kuwa mke wangu(wanaotongoza live ni tofauti?)

Niambie hapo, ili tofauti kati yangu niliyeopoa kimwana jf na yule aliyekutana na kimwana kwenye trip ya Dar -Ar au kwenye daladala au kanisani??
 

this handwriting??? i gues i know yuo G....
 
Mna chart on line mna badilishana namba baade mna badilishana vikojoleo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…