Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
switiee! hebu fanya kwanza kula slow jam wakati napasha!
si unajua tena maandalizi ya vurugu mechi ya leo! mpaka kunakucha leo!
tunapeana tu mahabbbatii!
so this is how we doooo!!!
and that is, how they go awayyy!! hahahahaaa!
Wewe hauna Kabila nini?
Mnaleta ukabila? Headline na kinachoendelea ni tofauti... Ingekua Group ya wasukuma tu.. Hakika nisingetia neno
Weee! Chezea sukumaland! Mazuri yao bwana watoto full mzuka wamejaaliwa tabia na maumbile, wavumilivu saana ktk ndoa zao, heshima, yaaan mmmmmh!!Tujuzen mazuri na mapungufu ya kina dada wa kisukuma.,.!
Mi ninavyowajua hawa madem wa kisukuma ni kuwa sio wabishi ukiwaomba mechi tena kama aliolewa halafu akaachika (wenyewe wanamwita Msimbe) ndiyo kabisa zaidi ya Kumsukuma mlevi!
khaaa na mwallu tena
lahaulaaaah!!jamaniiiiii!!!!???
we niletee mahela ya matumizi tu!!
cna shida na ww!!
Moja ni wanyantusu hawa ni wabaya sana wanapenda kumwendesha mwanaume hawanatofauti na wamachame wanawake.
Kuna wasukuma wa magu kama asili hawa ni wazuri Mara nyingi sio weupe kama wale wa bariadi ambao ndio wanyantunsu
kuna mahali nimeonamambo Passion Lady?
nimeona umeniita
hahahhahahah hii sio kweli Excel maringo ni lazima na kujivunia tulivyonavyo pia haikwepeki ila dharau mnatusingizia jamani