Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
hahaaa!! miss neddy akuanze? mtoto ananata utadhani kakalia ulimbo?
mtoto anatembea kama haendi vile? anazungusha jicho kama kinyoonga?... wallahi utangoja sana mwezi huu!
Wanawake wa kisukuma napenda ukarimu wao,uchesh,uchapakaz,usafi na hayo maumbo yao. Wako vizuri kiukwel
kwa hio ungelinitaja na mimi ungekufa au?
du.. ila naamini unani-do for love..
Mwambie Huyu asiwe anaingia kwenye nyumba za watu bila hodi!
kwa hio ungelinitaja na mimi ungekufa au?
du.. ila naamini unani-do for love..
Wewe huna man'gombe dada yng akutake Wa nini? Sisi kaka Zake tuliozoe kukaa na kulala na mifugo tupate nini toka kwako? Utupe Proglam ya Excel tuka install wp?
yani wewe tena nakutaja kunako heart tu ondoa shaka
nakwelewa sana mamii.. sirudi tena, nikirudi ni aksiidentiii!
iwe nyepesi basi! khaaa!! wanyantuzu hamchelewi kusema nipalilie shamba la mpunga usiku na mchana wiki nzima..!
naomba utaje sifa kumi za wasukuma ambatanisha na mifano hai iliyopo kwenye jamiii
waweza sema wasukuma ni hodari kwa kazi then taja mtu maarufu msukuma kama mfano
KAZI KWAKO THE KING
eheeee!!! ahsante malikia!
umenipa assignment muda muafaka kabisa..
tupate kwanza dinner halafu ntakupa majibu muuuuruuua wakati niko mzigoni!
nakuaminia Excel hakikisha mifano inakuw ya mastaaa tu kuanzia wanamuziki madokta mawaziri na kadhalika