Ingawa kabila halihusiani sana na tabia ya mtu lakini jamii inaangalia majority ya hilo kabila wako vipi na wanafanya nini..then watu wana conclude kuwa hiyo ni tabia ya kabila zima kwa kutumia ule msemo kwamba samaki mmoja akioza basi ujue ni wote wameoza..mfano kwenye madanguro mengi sana wengi wao ni WAHAYA basi inakuwa rahisi ku conclude kuwa WAHAYA ni MALAYA/MACHANGUDOA sifa ambayo kijamii si nzuri..ukija kwa ndugu zetu wa IRINGA wengi wao ni Mahouse girl na WACHAGA wengi ni watu wa Biashara....Tukija kwa WAPARE na mimi nikiwa kama mpare si shauri kabila lingine kuoa mpare kwa sababu wanawake wa kipare wanatabia ya ubinafsi, majungu, uchoyo, roho mbaya na kubwa zaidi kutowapenda ndugu wa mume...kibaya zaidi mwanamke wa kipare anachukulia ndoa ni kama sehemu ya kuchuma..kwa huku kijijini unaweza ukamuona binti miezi 8 baada ya ndoa utamuona anaanza ujenzi kwao sasa unashangaa huyu kaolewa au kaenda kazini?..na lingine la kuwa wasiri sana kwenye mambo yao...leo ngoja niishie hapa..
Niulizeni mimi kuhusu wanawake wa Kipare, nina uzoefu nao wa kutosha
Niulizeni mimi kuhusu wanawake wa Kipare, nina uzoefu nao wa kutosha
SAME@ Eli79
Sijapata kumuona demu wa Kipare asigongwa nje. Apart from that I had a chick ambaye ilikuwa bado one year tuoane but nilimfumania live na rafiki yangu. Kwa mfupi hao wadada wanafundwa tokea wakiwa wadogo kuwa na moja zaidi ya mmoja sijui logic ni nini. Ila kwa mautamu si mchezo, wanajua kula mashine utadhani ni vibogoyo, halafu pia hawana hiyana mpaka mtandao wa bei nafuu wanakupa.!Tiririka mkuu...
Sijapata kumuona demu wa Kipare asigongwa nje. Apart from that I had a chick ambaye ilikuwa bado one year tuoane but nilimfumania live na rafiki yangu. Kwa mfupi hao wadada wanafundwa tokea wakiwa wadogo kuwa na moja zaidi ya mmoja sijui logic ni nini. Ila kwa mautamu si mchezo, wanajua kula mashine utadhani ni vibogoyo, halafu pia hawana hiyana mpaka mtandao wa bei nafuu wanakupa.!
Iyee mdhima Hata mi nekamanje ako kalwimbo avae, hena kangi ketio 'mgwire mkonoe vava mwanaetonga e vava...x2wemanje kala ka nyimbo..mwai wetu eo hio tuenda tu mvone x2
Mchumba wangu ni mpare wa muda mrefu sijaona tabia zozote mbaya kama zinazotajwa hapa mfano wanapenda sana kugongwa nje, xtreme ubahili, chuki kwa upande wa mume etc. More elaboration please:yell::nod:
Sijapata kumuona demu wa Kipare asigongwa nje. Apart from that I had a chick ambaye ilikuwa bado one year tuoane but nilimfumania live na rafiki yangu. Kwa mfupi hao wadada wanafundwa tokea wakiwa wadogo kuwa na moja zaidi ya mmoja sijui logic ni nini. Ila kwa mautamu si mchezo, wanajua kula mashine utadhani ni vibogoyo, halafu pia hawana hiyana mpaka mtandao wa bei nafuu wanakupa.!
Angalau umeona vitu vingi nilivyoongea ni vya ukweli, sasa kumalizia zaidi ni kwamba wao hata usipokuwa na mshiko unawagonga 0713, tena huyo aliyekuwa wa kwangu nilikuwa namla hiyo kitu bure kabisaa..!He he ila kuhusu 0713 ukiwa na mshiko waweza gonga dema yeyote ktk Dunia hii sio km ww unavyotaka kutuamisha hapa.
Nilitaka niulize hilo swali.Mie mwenyewe nimpare na nimeish nawapare hizo tabia zote sijaziona,Nnachojua wapare tunavibuli na dharau na hatupend kuonyesha matatizo tuliyonayo.Mkuu we mpare wa wapi
Sijapata kumuona demu wa Kipare asigongwa nje. Apart from that I had a chick ambaye ilikuwa bado one year tuoane but nilimfumania live na rafiki yangu. Kwa mfupi hao wadada wanafundwa tokea wakiwa wadogo kuwa na moja zaidi ya mmoja sijui logic ni nini. Ila kwa mautamu si mchezo, wanajua kula mashine utadhani ni vibogoyo, halafu pia hawana hiyana mpaka mtandao wa bei nafuu wanakupa.!
Nilitaka niulize hilo swali.Mie mwenyewe nimpare na nimeish nawapare hizo tabia zote sijaziona,Nnachojua wapare tunavibuli na dharau na hatupend kuonyesha matatizo tuliyonayo.
1.Mnavyosema mafundisho yao wanafundishwa kuwa na mtu zaid ya mmoja ni wapare wa wap hao?ni sehemu gan uparen bado wanawafundisha watu masuala ya Jando na unyago?
2. Hizo tabia zote mbaya mlizozitaja kuusu wapare ntajien kabila ambalo halina hizo tabia.
3.Mnavyosema majority wapo hivyo mnajua idad sahihi ya wadada wakipare?
4.Mapungufu yapo ila inategemeana na baadh ya koo ila koo nyingi zakipare hazina matatizo
Karibuni Same Gonja kuna wanawake wazur sana na wenye tabia nzuri
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums