Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Hapo umenena mkuu,cjaona hata mmoja aliyekubali hata kama ukweli anaujua.naamini katika wote humu hakosekani walau aliyeua au best yake kaua mume.ila still atasema ni uongo
 
aisee ndenisa una jina kama la bibi yangu na mdogo wangu..

Waambie hawa haya maoni wangeyatoa kwenye mabaraza ya katiba ili yaingizwe kwenye katiba kabisa. Hapa wanatoa povu tu

Haswaa umenena...wawapelekee akina Sitta huko wayafanyie kazi. Wanapiga kelele tu hapo bila sababu
 
99.9% ya wamaranguu na wamachame wanawake ni hatari nuksi kabisa nduguyo akioa haya makabila jua kabisa ni "RoBO MFU" Genes zao zipo hivyo lazima wata ku ufo..saro tuuu! na karibu 30% ya single mumy's ni wao.

na econometric yako unaongea ushuzi ushuzi tu..analysis gn umefanya??labda kama umeweka residual factor constant.
 
Mwanamke akishakuwa mchaga hawez kuwa mke wangu.. uo mchepuko tu
 
Na wakibosho tuna tatizo kwani...yani wakibosho sisi niwazunguu....sikuuwi nataka tuzeeke wote,ila pesa isipoonekana nakuchoma kisu haki ya ruwa mpaka useme pesa umedondosha wapi...kama ni kwa mchepuko utasema tuu
 
Wale waleee
 
Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,

mmmmmh nina mpenzi wangu wangu mwaka wa sita sasa.....
Anyway kama coin ilivyo kuna bichwa na mwenge.... mkuu umekutana na Bichwa,,,,, me nimekutana na Mwenge ,,,,
 
Mkuu naomba umalizie story yako.
 
Naona shemeji zangu wachaga wamekuja juu kweli..lakini kuna kitu cha kujifunza hapa..
 
Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,
huku kila cku wachaga,wanawawasha sana nini,si mkaolewe nao tu,mtulie,mnawashwa nao nini?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…