nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 528
Si ulipenda rangi kazi kwako
Tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu, hatuna tofauti na wanawake wengine.
Kama kuna sehemu mnakosea jirekebisheni, kwa nini kila mtu anawananga nyie tu, kwa nini nyie tu na sio kabila lingine...kuna kitu hakiko sawa labda..!
Ni madhara ya matambiko na mila wafanyiwazo sana na wazee wao...
Wengi wao si kwamba wanapenda kuwa hivyo na kimsingi hata wanaume wa kichaga wana shida sana ndoani...
Si ulipenda rangi kazi kwako
Wewe tafuta PeSA kama Huna akili nzuri, malumbano hayataisha.
Nope, kabila zote zinaolewa na kuoa...lakini hawa jamaa wajichunguze. Haiwezekani kila mtu anawasema kila siku, kuna tatizo...kama ni pesa wao sio wa kwanza kuzisaka, kila mtu anategemea pesa kuishi. Kwa nini iwe wao tu kusemea na pesa?Au ndio kusema wachaga ndio wanaolewa sana kuliko makabila mengine,nahisi ipo namna au kuna kitu behind this....
Nope, kabila zote zinaolewa na kuoa...lakini hawa jamaa wajichunguze. Haiwezekani kila mtu anawasema kila siku, kuna tatizo...kama ni pesa wao sio wa kwanza kuzisaka, kila mtu anategemea pesa kuishi. Kwa nini iwe wao tu kusemea na pesa?
Nyie sio wa kwanza kutafuta pesa, sio kabila la kwanza kuwa na pesa, hio haina mantiki kabisa kiongozi. Labda useme 'mna tamaa ya pesa' you wanna reap where you don't saw..!Wanaokosea ni hao wanao jumuisha wachaga wote kuwa na tabia moja.Tabia hazina kabila kama mtu anatabia mbaya ni yeye wala ukoo wake haukumfundisha kuwa na tabia mbaya.
Labda niseme tu wachaga wanapenda sana kuitafuta hela kwa kujishughulisha kwa namna yoyote ile