Mi nipo ndani ngoja niuchune tu!Salaam wa JF
Mimi kila siku uwa najiuliza kwa nini sisi Wanawake tuna huu wivu,
Kama mimi ni mdada na nina marafiki wa kiume yaani si wakimapenzi washkaji tu,
yaani mlisoma wote,
sasa mmoja wa rafiki kama akioa,siku mkakutana labda kwenye party na mke wake,au njiani atakuchunia na siku ingine anakutafuta ebwana ehh samahani sana nilikuchunia siku ile nilikuwa na wife yaani wife wangu anawivu sana,nikisalimiana na wadada ananuna siku nzima.
Kuna Kaka mmoja pia nilisoma naye,wakati tuko chuo tulikuwa washkaji ile mbaya,alafu tulikuwa tumezaliwa tarehe moja mwaka mmoja,hivo tulikuwa tunaitana pacha,
sasa baada ya kupotezana kama miaka 3,tukaonana town,pembeni akiwa na mchumba,alivyoniona kwa kweli alishidwa kuvumilia na kunihug,pacha vipi upo,yaani nimekutafuta kichizi,story story za salam baada ya kuisha,akaniambia,mshikaji ehh uyu mchumba wangu,sasa yule dada bwana alikuwa amekasirika nusura apasuke
mimi nikampa hongera,sasa nataka nimpe mkono yule dada kwa salamu akatoa nje,akaangalia pembeni hakunisalimia kabisa,
basi yule kaka aliona aibu sana akasema ahh mchumba naona kachoka sana leo,basi mie kuona hivyo nikaona niage mapema.
Sasa hii najua sio kwangu tu imewatokea na wengine,swali ni je sisi wadada wa KiTZ tunamatatizo gani jamani,kwa maana kama mumeo asiwe anasalimiana na wadada aliosoma nao au kukua nao mtaani kisa wewe.
Je huu wivu ni kutojiamini au ni nini?
Na hizi tabia pia wakaka wanazo sometym wakiwa na wake zao au girlfriend wanajifanya hawakujui kabisa.
Mlio nje mtupe data za huko je wazungu pia wako hivyo kama waBongo?
Salaam wa JF

FL1 vipi hapo kwenye RED
Hao ni wale wanaume wasiojiamini hata kidogo ...kumsalimia mtu na kutambulisha sio tatizo kiivyo Labda urafiki wa mashaka
Tatizo walio nje bado kuamka mida hii. Ngoja nisepe.(Hangover ya man u, bado kwisha kichwani)😀😀😀Mi nipo ndani ngoja niuchune tu!
fl1 vipi hapo kwenye red
Tatizo walio nje bado kuamka mida hii. Ngoja nisepe.(Hangover ya man u, bado kwisha kichwani)😀😀😀
ha ha ha hommie acha tu nagugumia maji tu leo nikiweka za kinoname usintenge maana wajua yaliyo nisibu!!Tatizo walio nje bado kuamka mida hii. Ngoja nisepe.(Hangover ya man u, bado kwisha kichwani)😀😀😀
Tatizo ni wanaume wengi wa kiafrica kukosa kuwa waaminifu. Hivyo mdada yule alidhania kuwa anaibiwa mbele ya macho yake. Na visingizio ni hivyo hivyo ohh tulisoma wote. Pili inategemea wanaaminiana kiasi gani huenda mdada anajua jamaa akiachiwa sekunde tu zipu ilishafunguka!!
Watu wa nje at least wanajitahidi kuwa waaminifu. Akikuambia huyu tulisoma wote ni kweli. Na kama alikuwa girlfriend wake wa zamani basi atakutambulisha kuwa huyu ni X wangu. Hata kama ni wewe umeolewa basi utamwambia jamaa huyu alikuwa X wangu wa zamani na hakuna taabu. mnakaa na kununuliana kahwa!! hata kukaribishana nyumbani!! Je sie a kina MAGANGA TUNAWEZA HAYO?? waswahili husema kisima ulichokunywa maji husahau- waweza kumbushia ati!!
wengine waendeleze na kumalizia.
`ndo umsemeshe kwa sauti hiyo`.......wakati wewe umeona umemsalimia kikawaida tu.
Tokingi from kisipiriensi?🙂
Hii natatizo kubwa sana na ninahisi ni mazingira ya kumuachia mpenzi wako control nyingi bila kuweka limits.