Hahaha unaeleza dhumuni kabisa wakati hata uhakika wa kujibiwa haupoNakusalimia kwanza, then dhumuni litakuja baada ya wewe ku-respond positively. Nikiona hata salamu imekuwa shida kujibu, nageuka nyuma na kurudi nilipokuwa
Hahaha unaeleza dhumuni kabisa wakati hata uhakika wa kujibiwa haupo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nadhani Paula ameelewaPaula anataka niingie moja kwa moja kwenye mada wakati huenda nataka company tu kwa siku hiyo. Au huenda najaribu kutengeneza mazingira ya kuku-approach, lazima tuanzie mbali jamani mtuvumilieee!!
Aah naongelea ujumla tu, huko pm napaogopa sana siku hizi kwa kweli.
Ni kweli bora uendelee kupaogopa my friendAah naongelea ujumla tu, huko pm napaogopa sana siku hizi kwa kweli.
Hilo ni tatizo sugu kwa app yetu hii hata mimi ninalo lakini PM za watu naziona, ninyi mnashindwaje kuziona??? Halafu kwa nini uanzishe conversation wakati unajua uko bize? Mimi nikijua nimeanzisha convo na mtu huwa siachi kuchungulia nione kama amejibu sijajua inakuwaje mtu unapotea kwa siku kadhaa. Wakati mwingine nakuona kwenye thread unakomenti kama kawaida...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingawa umeongea kwa kebehi ila ndio unatakiwa kufanya hivyo, unatakiwa ukianzisha convo uwe na bidii ya kurefreshSawa dada...
Me ntakuja huko chumbani PM... basi... ntakutumia text halafu nibaki nasubiri...
Naomba nami niwe mmoja kati ya wanaume wanaokupa raha hapa jfHa haaa yaani nakwambia. Kuna watu wanaboa sana ila wapo wengine jamani yaani unaona raha story zao hata akikusextisha inanoga..unatamani uingie jf kila saa uchat nae
Sent using Jamii Forums mobile app