Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Mfano wewe nikisoma comment zako napata picha flani ya binti anaejitambua, ila hatabiriki sometimes yes sometimes no!!

Kuna uzi siukumbuki jina niliwahi kuku-mention kwa namna nilivyopenda ulivyo reply. Kile ulichoreply hadi leo nakikumbuka uliandika hivi; "Tafuteni kua na amani na watu wote" hii ni quotation toka kwenye bible sikumbuki mwandishi.

Unaukumbuka huo uzi?

Hahaha unasema kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuhh Mkuu unaonekana wanakuPM sana Ngoja namm nitakuPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…