Wanawake wa JF hawanitaki

Wiseboy, kabla sijaja pm hebu fanya kunipa miamala yako yote ya:
m-pesa, tigopesa, airtel money, ACC za benk n,k
Kisha nitakimbia kuja.

usikonde mama,njoo pm uniambie tatizo lako lolote lile nitalitatua ndani ya masaa manne tu,chezea pesa weye?
 
Ahahahahahahahaaaaaa!!wiseboy katika ubora wake&
 
Nisamehe bana tuyamalize,usiponisamehe nitaanza kutembea na bastola nikikukuta na mwanaume popote pale naku ufosaro bila huruma hakyanani.

mimi mmama sana nitakupwelepweta bureee

waje kina miss chagga
 
alisema hataki mwanasiasa
kwene uzi wa siasa
alinipa kavu sina hamu

ila kumbe unanipenda sana basi tu hadi unakumbuka ile ilikuwa ni hasira maana ulisema huwezi kuishi usukumani,nisamehe yaishe jamani,roho inauma.
 
yashaisha hahha
ila mi sio saizi yako navyokuaona utakua starlet mimi ni tandam
Nisamehe bana tuyamalize,usiponisamehe nitaanza kutembea na bastola nikikukuta na mwanaume popote pale naku ufosaro bila huruma hakyanani.

mimi mmama sana nitakupwelepweta bureee

waje kina miss chagga
 
Unataka kusema jamii forums imejaa wanaume tu?
 
kutoa likes tu imekushinda,sembuse kutuma hata hela ya vocha....#mkonowabirika

:lol::lol:....

lakini amesema wazi wazi kwamba yeye ni bilionea!

Ina maana anatumia device ambayo hata like haiwezi toa?:shocked:

serious??:tape2::tape2:
 
:lol::lol:....

lakini amesema wazi wazi kwamba yeye ni bilionea!

Ina maana anatumia device ambayo hata like haiwezi toa?:shocked:

serious??:tape2::tape2:

tehteh....uchoyo uko damuni....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…