masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,395
- 19,354
Naendelea vizuri aiseemi sijasoma hapo kabisa......btw kazi zinaendaje pande hizo?
bora nimwambie ukweli ana dalili za kutatuliwa marinda
Heee siamini hili
Waambie mrs wa watu,maana naona wamekazana kweli kutafuta humu jamani wanawake waliopo humu ndiyo hao tunaopishana nao kariokoo na mitaani mwetuheee makubwa, ila huyo atakuwa muongo hivi mtu anaepigwa hata kama si kwa mkanda wa chuma ile kupigwa tu kawaida kwa makofi ana uwezo kweli wa kushika simu na kuanza kutuma msg? au alituma baada ya kuwa kipigo kimeisha, lakni pia haiwezekani ukishafumaniwa ukala kichapo hata hiyo simu utakuwa unaigopa. But all in all ndo mana kila mara zikija hizi topic za mahusiano ya kwenye mitandao huwa tunawaonya jamani muwe makini ukweli ni kwamba its not a safe place kwa mahusiano japo wapo wachache wanaofanikiwa lakini kwa majority ni majanga
funga macho upite mkuu pole sana
Nina maswali mengi sana ya kukuuliza
niulize tu ila hakikisha na majibu.. huwa siachi gape kwenye maswali nikishindwa natunga la kwangu nalo jua najibu
Huwa unatumia 0713?
yaana wakati anapigwa alikuwa anachati na wewe maana umesema kakwambia anapigwa na mkanda wa chuma na mumewe
eti anakufa na anapigwa na mkanda wa chuma na mumuwe
UKIWA MUONGO PANGA VIZURI VERSE
hapana natumia voda tu
Afu kibaya zaidi anachat na huyohuyo mtuhumiwa. Hii hadithi hata Shigongo asingeichapisha.
Kwahyo 071.. ipo sealed?
i use to use it
oh my.....oh my!!!
ulisema hutaki neno I love you mbona unaomba tenaBaby can u love me now.... i mean i use kwenye ile kazi yake not the other one