Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,581
- 7,288
Kizur kula na ndugu zako
Kwaiyo mmemuacha au bado kila Mtu anapiga kwa muda wake?
sasa wewe hauoni kuwa hiyo ndiyo fresh "" hakuna kugandana gandana hapo "" mkitafutana ni for sex only....yaani kwanza hata huwezi kuumia moyo "" binafsi mimi nayapnda sana mahusiano ya namna hiyo "" hapo mnakuwa MNA date lakini kama washikaji Fulani hivi ""
kama una shindwa kuhandle hiyo situation kwa hapa dar "" mkuu ndio utaweza Ku survive kwa madiba.."""""..***** huko unademu wako unaishi nae ikitokea mmemwagana""" anahamia fleet ya chini kwa""" mchizi mwingine wanapika na kupakuwa "" na huyo Jamaa"""" wala hajali kuwa alikuwa"""" demu wako "" demu ndio kabisaaaa""wala mshipa """"wa noma hana"" na mademu wahuko kwa foreigners"""" ni watata ile mbaya...waweza kumzingua"""" akaipasua gari yko vioo vyote Ama anakuvizia usiku ukiwa umelala anakubandika pasi ya mgongoni ....""hahaaaaaa"""
mkiendekeza ""kupnda penda hovyo """mtakuja kufa mapema ..."""fanyeni kazi vijana
Sharing is caring. Nyie mnapenda mtupangie nyie tu eeh. Mwendo ni kupangana
mlikuwa mnatengenezewa bom mnabaati mmeshtuka
afu wewe ulikuwa ukipitia sana pale UVINZA kwa hiyo mkuu ulikuwa ukideki milenda ya washikaji zako
Nina rafiki angu ndo zake. Kwenye kundi alitembea na watu kama kumi. Halafu anakwambia siri yako. Kuna mmoja alikua kama bf wake. Sasa siku akilewa anamwambia yule mwanaume unajua fulani nimetembea nae eeh.hahahah... dada angu lakini sisi huwa tunawapanga msio juana yani mmoja kimara mwingine masaki alafu mwingine kigamboni
sasa yy katuchanganya washkaj ambao ni kama ndugu yan alafu alivyo mjanja sasa kila mtu alimwambia lets keep it under the duvet watu wasijue bhna sasa siunajua na sisi tusivyopenda comitment basi kila mmoja akasema yeeeeeeees toto zuri namna hii halafu halitak comtment
kumbe yeye ndio anatugegeda sio na siyo sisi kugegeda yy sheeeeenz kabisa
Tafuta mmoja jiwekee ndani ujilie taratibuaaah ndugu yangu tumempiga chini ... hii mambo ya kizuri kula na ndugu yako mnaweza kujikuta wote wagonjwa hamna hata wakumuuguza mwenzake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaka upo sahihi kabisa lakn na uhakika hata wenzangu nao wamedeki mambo yangu sana tu
mtoto mkali kichizi hata sijui kakosa nn hadi kaamua kuwa kicheche mamaeee
Nina rafiki angu ndo zake. Kwenye kundi alitembea na watu kama kumi. Halafu anakwambia siri yako. Kuna mmoja alikua kama bf wake. Sasa siku akilewa anamwambia yule mwanaume unajua fulani nimetembea nae eeh.
Anasema wao mbona wanapenda kutupanga sisi sasa mimi nimelipizia wanawake wengine [emoji23][emoji23]
Uzuri wa sisi wanaume...
Hata baada ya kugundua msichana anachanganya hatugombanagi zaidi ya kila mmoja kuelezea vile alivyokua anapewa/kumpa mambo...
Ila mwanamke akigundua unachanganywa ni atamtafuta huyo mwanamke/wanawake wengine, watasemana na hata kupigana...
Cc: mahondaw
Tafuta mmoja jiwekee ndani ujilie taratibu