Wanawake wa Dar msiovaa chupi lengo nini?

Mnaotaka ridhaa za wenye picha mnajiona makuhani eh!?? Mitandao si ingefungwa
 
[emoji1431][emoji1417][emoji257][emoji257][emoji257]Shukrani sana missing you you too. Nimefurahi sana kukuona nadhani unakumbuka June14, 2018 imebaki miezi miwili. Timu yetu pendwa iko ngangari na kuna tetesi Neymar kaanza mazoezi aste aste.

Nakuomba usikose hicho kipindi cha mwezi cha kubana kende na matiti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenye maguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu. Halafu uzuri mwaka huu haitakuwa usiku wa manane kama 4 years ago kule Brazil. Huyu naye Victoire kapotea sana humu. Usiku mwema na njozi njema BAE.

Hahahaha Asante kutusemea!!! Nakusalimu kwa busu takatifu, missing you so much!
 
Hahahaha umenikumbusha mbali can't wait kwa kweli June ifike,Good news hizo....na hivi hatuvai kazi ya kubana itakuwa rahisi tu yaani ni kubana kweli kweli. Nitapatikana sana kipindi hicho usisahau tu kufungua thread pendwa na kunitag. Usiku mwema dear leo nitakuota hahahaha!!!
 
Reactions: BAK
Shukrani sana ulale unono na njozi njema.

 
Shule ya msingi enzi hizo ukiona underware unasema umeona kavaa uchi.

Secondary wakawa ni skintight au kaptura kwa ndani.

Chuo ikawa ni vinguo nguo tu na chupi tunaziona.

Huku makazini ni vyovyote...
 
Wadada wa skuhiz baadh
Yao n moto wa kifuu
 
Lengo ni papuchi kupata hewa safi mbona wameshaandika humu mara nyingi!?

Binadamu hawaishiwi majaribu jibu walishapata ila bado wanaendelea kuuliza uliza
 
sema naona kama ufaransa atachukua hili kombe,naamini kabisa hii kitu.ngoja tusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…